mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
Nipo kwenye computer ila bado inagoma, sijui shida iko wapi?Mzee baba kote huko ndo tulikuepo mbona inagoma kwenye username stage.
Au ni mpaka utumie computer?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Bado inakurudisha mwanzo mpaka ujaze username.Mkuu..
Hapo achana napo, hiyo username inakuwa automatically generated from your form four index number..
Jaza hizo taarifa zingine, kisha bofya submit
Tangu jana inakataa,,,,inasema kuna network problemNipo kwenye computer ila bado inagoma, sijui shida iko wapi?
Kuna mdau alisema username inaji-generate automatically kutoka kwenye F4index number lakini holaaa.
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Naona site yao bado hauipo sawa. Mimi nimeishia kujidajipi baada ya kuhangaika kama siku tatu hivi. Sasa hivi nahangaika kufika sehemu ya deni langu. Kila niki click inasema "try again"Nipo kwenye computer ila bado inagoma, sijui shida iko wapi?
Kuna mdau alisema username inaji-generate automatically kutoka kwenye F4index number lakini holaaa.
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Inawezekana kuna shida ya traffic. System imevamiwa watu hatutaki mchezo kabisa[emoji23]Tangu jana inakataa,,,,inasema kuna network problem
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
System itakuwa iko overloadedNaona site yao bado hauipo sawa. Mimi nimeishia kujidajipi baada ya kuhangaika kama siku tatu hivi. Sasa hivi nahangaika kufika sehemu ya deni langu. Kila niki click inasema "try again"
Kuna yeyote aliepata statement kwa njia ya email? Masaa 72 yamekata, sijapata email na niki log in kwa acc na kuomba statement, naambiwa hakuna mtandaoKama una swali lolote uliza.
Kuna jamaa tulikuwa nae alikuwa anadaiwa milioni 20 kakuta imebaki 8
Mwajiri wako ameanza kupeleka pesa yako lini?Hawa jamaa sijawaelew!!! Nimeajiriwa mwaka 2014 na kufikia mwezi wa 8 mwaka huo huo nikaanza kulipa deni ambalo jumla yake lilikuwa mil, 11 cha ajabu naangalia jana nimekuta nadaiwa milion 8 na ni miaka 7 sasa wanakata pesa yao[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kuishi hizi nchi maskini raha sana, kila kitu stress..Kuna yeyote aliepata statement kwa njia ya email? Masaa 72 yamekata, sijapata email na niki log in kwa acc na kuomba statement, naambiwa hakuna mtandao
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Hukutaka kuhoji?Nilienda jana statement walinipa tulikuwa wengi wengine deni limepungua ila kwa upande wangu limeongezeka wameniwekea VALUE RETENTION FEE ya mwezi wa NNE 2021 kama laki NNE hivi kwahiyo hata sielewi nini kinaendelea sijui mama Samia
Tangu 2014 boss mwez wa tisa salary slip inaonyesha wanakata mpaka leo
Mkuu, shida sio salary slip kusoma je, makato yako yalifika bodi??Tangu 2014 boss mwez wa tisa salary slip inaonyesha wanakata mpaka leo
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwahyo kiongozi unataka kuniambia makato yangu hayajafika??! Maana deni lilikuwa ml.11 lakni mpaka mwaka huu mwezi wa 4 nilikuw nimebakiza ml.4 kwa mujibu wa salary slip,,,deni lilikuwa linapunguaMkuu, shida sio salary slip kusoma je, makato yako yalifika bodi??
Niliwahi fanya kazi kampuni flan ambapo makato ya bodi na Nssf hayakuwa yakipelekwa. Angalia statement yako itaonesha mtiririko wa michango ulivyo
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Jitie moyo mkuu.Taarifa:
Ni kwamba bodi wameifunga website yao baada ya watu wengi kuingia frequently kufuatilia madeni yao yamebaki kiasi gani au kama wamemaliza.
Mie pia nimeshindwa kuangalia,wamesema tarehe 1 ndo wataifungua.
Nahisi mie nimemaliza ghafla,maana deni lao lilibaki M 2 tu.
Mbona wanasema wamefuta za miaka ya nyuma iweje ww mwezi wa 4 wakuwekee?!Jitie moyo mkuu.
Mimi ilibaki 2.1 mill nilipoenda ofisini kwao jana nimekuta 2.6 mill.
Nilipowauliza kulikoni wakaniambia kuna VRF ya mwezi 4 kabla mama hajafuta mei mosi
Wamesema system INA matatizo itaanza kufanya kazi vizuri kuanzia julyNipo kwenye computer ila bado inagoma, sijui shida iko wapi?
Kuna mdau alisema username inaji-generate automatically kutoka kwenye F4index number lakini holaaa.
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Wanasema VRF imefutwa kuanzia 1st May.Mbona wanasema wamefuta za miaka ya nyuma iweje ww mwezi wa 4 wakuwekee?!
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app