Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Mimi niliingia online nikakuta Charges laki 6.
Ndio nikaamua kufunga safari bodi jana.
Kwenye hiyo laki 6
1. Administration fee laki 1.2
2. VRF paid by 30th April 4.8
 
Mimi niliingia online nikakuta Charges laki 6.
Ndio nikaamua kufunga safari bodi jana.
Kwenye hiyo laki 6
1. Administration fee laki 1.2
2. VRF paid by 30th April 4.8
Hafu Hawa jamaa naona ni kama vile wanagushi taarifa za wadaiwa hasahasa kwa wale waloanza kulipa kabla ya mabadiliko ya 15%.Mi binafsi kwa mfano wameniwekea penati ilihali nilianza kulipa kwa wakati, administration fee wameniwekea 78,000.Sasa administration fee ya nini sasa?.Hao nionavyo mimi wanapiga biashara ukijichanganya kulipa na ndo Mana figure hazina uhalisia hasahasa zinazohusu VRF, Penati na Administration fee

Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
 
Yaan mm wanakata tangu 2014 halafu jana naangalia online inaonekana sijawahi kulipa tangu huo muda na wamenikata na miaka 7 sasa

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…