mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roger thatWamesema system INA matatizo itaanza kufanya kazi vizuri kuanzia july
Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
Ulisema kwenye post zako za juu kuna jamaa alikuwa anadaiwa M. 20 jana kakuta anadaiwa M8 sasa yaan VRF ya mwezi mmoja tuu ndio imeondoa M 12?!Wanasema VRF imefutwa kuanzia 1st May.
Yaani kuna kasiasa Fulani pale bodi
Mbona wanasema wamefuta za miaka ya nyuma iweje ww mwezi wa 4 wakuwekee?!
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Hata hao wanaosema deni limepungua ni kweli limepungua lakini sio kwamba wanalipa kile walichokopa.
Mi naona tusubiri Hadi wa saba!huenda ukijichanganya kulipa hicho cha juu wanachukua wajanja.Hao wameamuriwa VRF wafute,yye anakujibu kuwa wameondoa ya wa nne, wakati hoja ilikuwa VRF inawatesa watu.Wanasema VRF imefutwa kuanzia 1st May.
Yaani kuna kasiasa Fulani pale bodi
Yaani mkuu kuna siasa pale, wewe chukua statement utaona.Ulisema kwenye post zako za juu kuna jamaa alikuwa anadaiwa M. 20 jana kakuta anadaiwa M8 sasa yaan VRF ya mwezi mmoja tuu ndio imeondoa M 12?!
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Sawa,,, naskilizia itakavyokuwYaani mkuu kuna siasa pale, wewe chukua statement utaona.
Au ngoja nifike nipige picha uone
Mimi niliingia online nikakuta Charges laki 6.Mi naona tusubiri Hadi wa saba!huenda ukijichanganya kulipa hicho cha juu wanachukua wajanja.Hao wameamuriwa VRF wafute,yye anakujibu kuwa wameondoa ya wa nne, wakati hoja ilikuwa VRF inawatesa watu.
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Usiende mkuu niushauri tu nakupaMimi kwenye salary slip deni lao linasoma 0.0 nataka ku-confirm huko kwao hali ikoje, kama vipi nicheze chini ya maji
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Siendi mkuu.. Nataka nichek kupitia online kwanza [emoji1]Usiende mkuu niushauri tu nakupa
Cheki kwanza online.Siendi mkuu.. Nataka nichek kupitia online kwanza [emoji1]
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Hafu Hawa jamaa naona ni kama vile wanagushi taarifa za wadaiwa hasahasa kwa wale waloanza kulipa kabla ya mabadiliko ya 15%.Mi binafsi kwa mfano wameniwekea penati ilihali nilianza kulipa kwa wakati, administration fee wameniwekea 78,000.Sasa administration fee ya nini sasa?.Hao nionavyo mimi wanapiga biashara ukijichanganya kulipa na ndo Mana figure hazina uhalisia hasahasa zinazohusu VRF, Penati na Administration feeMimi niliingia online nikakuta Charges laki 6.
Ndio nikaamua kufunga safari bodi jana.
Kwenye hiyo laki 6
1. Administration fee laki 1.2
2. VRF paid by 30th April 4.8
Yaan mm wanakata tangu 2014 halafu jana naangalia online inaonekana sijawahi kulipa tangu huo muda na wamenikata na miaka 7 sasaHafu Hawa jamaa naona ni kama vile wanagushi taarifa za wadaiwa hasahasa kwa wale waloanza kulipa kabla ya mabadiliko ya 15%.Mi binafsi kwa mfano wameniwekea penati ilihali nilianza kulipa kwa wakati, administration fee wameniwekea 78,000.Sasa administration fee ya nini sasa?.Hao nionavyo mimi wanapiga biashara ukijichanganya kulipa na ndo Mana figure hazina uhalisia hasahasa zinazohusu VRF, Penati na Administration fee
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Kwan mama si amefuta hadi VRF za nyuma??Jitie moyo mkuu.
Mimi ilibaki 2.1 mill nilipoenda ofisini kwao jana nimekuta 2.6 mill.
Nilipowauliza kulikoni wakaniambia kuna VRF ya mwezi 4 kabla mama hajafuta mei mosi
Muulize mwajiri wako kama alikuwa anapeleka bodi, akupe na udhibitisho.Yaan mm wanakata tangu 2014 halafu jana naangalia online inaonekana sijawahi kulipa tangu huo muda na wamenikata na miaka 7 sasa
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama alikuwa hapeleki natakiwa kufanya nnMuulize mwajiri wako kama alikuwa anapeleka bodi, akupe na udhibitisho.
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Mkuu.. ebu tuanzie hapa.. kukatwa kwa muda mrefu sio ishu, ishu ni kuwa unakatwa sh ngapi!??Yaan mm wanakata tangu 2014 halafu jana naangalia online inaonekana sijawahi kulipa tangu huo muda na wamenikata na miaka 7 sasa
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Chukua statement hata online uone uhalisia
Unapata je hiyo statement mkuu?Naomba nami nidhibitishe hili jambo, VRF imefutwa rasmi kwa mujibu wa loan statement ya leo
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app