Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Mkuu, wale wanafanya kazi kwa maelekezo ya serikali. Usiwalaumu wao

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Na mimi Nimejaribu mara tatu lakini najibiwa hivyohivyo. Kuhusu password na username pia sijaelewa naweka neno lolote au?
Security code ni hayo maandishi yenye herufi na namba za ajabu ajabu, unapaswa kuyajaza kwenye sehemu ya secury code kama yanavyo onekana, herufi kubwa kwa kubwa, ndogo kwa ndogo na namba vilevile. Ni mifumo ya kiusalama ili kuzuia automated bonimh
 
Kuna uhuni na wizi mwingine unafanyika wadau. Kwenye salary slip ya june makato yamekatwa kama kawaida halafu deni linasoma kiasi kilekile cha mwezi may. Yaani fedha imekatwa kwenye salary lakini kwenye slip halijapungua haya mia. Fatilieni na kwenu wadau
 
Mi pia nimeona hii
 
Huu sio uhuni, kwa payroller mpaka apate statement mpya ndio anabadilisha deni.

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…