ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
Mkuu, wale wanafanya kazi kwa maelekezo ya serikali. Usiwalaumu waoUnajua hao jamaa ni waajabu,wadau hapo juu walioenda Bod wanasema VRF kabla ya tamko la mama bado ipo,Sasa jiulize mbona wao walituingizia 15% hata sisi ambao tulikuwa tushaanza kulipa na sheria ikatukuta tena kwa mkataba wa zamani?Nionavyo mimi HESLB pale bila Raisi kuwapiga chini baadhi ya watendaji akili zao hazitawakaa sawa.Walishaambiwa waondoe VRF kwakuwa ni mzigo mzito hawaelewi.
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app