Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Umeligundua hilo
 
Kuna kawizi kamefanyika kitaalamu sana hasa pale kwenye VRF repaid before 30th April.
 
Kaka nieleweshe hapa!!! Ina maana cjawahi kulipa au ni vip?! Maana wameanza kunikata tangu 2014 lakin statement inaonyesha hivyo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
"bila yeye kufaidika" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 you must b kidding
 
Hapa nawafuata bodi au muajiri wangu??! Maana sielew na kwenye salary slip deni limefika 4.4

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Nenda kwanza bodi chukua statement itaonyesha michango yako ya kila mwezi tangia 2014. Wakikupa hiyo kama hakuna mchango uliopelekwa ndio utarudi kwa mwajiri kupambana nae
 
Nimeangalia akaunt yangu, inaonyesha sijawahi kulipa hata sent, while nakatwa since 2019, Nani muhusika, Mwajiri au bodi? Kwani hela ya mkopo inakatwa moja kwa moja hazina au mwajiri ndo anapeleka? Mimi ni mtumishi wa umma
 
Chukua printed statement yako, nenda kwa mwajiri wako akupe uthibitisho kuwa alikuwa analipa bodi, then nenda bodi na huo uthibitisho

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Naomba msaada
Kwangu inaandika hivi baada ya kuomba statement.
Pia namba kufahamu kama kuna umuhimu wa kujaza Employment details.
 
Kumekucha HESLB wamefanya marekebisho makubwa balaaa ,ingia uangalie kwangu Safi kabisa
tuendelee kupeana update. Tupe ushuhuda kwako ikoje. Me nimetoka statement inasema it seems you have liquidate your loan.. cjui ndo nimemaliza?? Ila salary slip inasoma 1.6m
 
tuendelee kupeana update. Tupe ushuhuda kwako ikoje. Me nimetoka statement inasema it seems you have liquidate your loan.. cjui ndo nimemaliza?? Ila salary slip inasoma 1.6m
Maana yake kuna change ipo kwao mkuu inatakiwa urudishiwe kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…