Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Usilazimishe kuingilia uhuru, hisia na mitazamo ya watu.
 
Suala la haki na wajibu katika nchi siyo suala la uhuru,hisia na mtazamo wa mtu binafsi.
Kila mtu ana mtazamo wake kuhusu haki. Mtazamo wako huwezi kuulazimisha uwe mtazamo wa kila mtu.

Kwanza kushukuru ni tamaduni ya Mtanzania, hata akitoa pesa kununua pipi dukani atasema napmba pipi huku akitoa pesa, na akipewa atasema ahsante. Ni ustaarabu tu.
 
Inakataa kwakuwa hujafata format mfumo inaotaka. Hakikisha baada ya S kuna zero yani S0xxx.0xxx.mwaka wengi mnafeli hapo
 
Wadau naomba msaada kwa hili mimi kwenye returned amount wameweka 470,000 maana yake nini
 
Malizia na mwaka uliomaliza f4 itahama yenyewe
Mkuu Mimi nishaweka index number imekubali .Ila tatizo nikiweka zile security code inagoma eti mpaka ziwe at least 6 characters. Lakini hizo herifu wanazo toa azifiki 6 ni 4 tu.
 
Kila mtu ana mtazamo wake kuhusu haki. Mtazamo wako huwezi kuulazimisha uwe mtazamo wa kila mtu.
Haki ni suala la katiba na sheria wala siyo mtazamo wa mtu binafsi.
Kwanza kushukuru ni tamaduni ya Mtanzania, hata akitoa pesa kununua pipi dukani atasema napmba pipi huku akitoa pesa, na akipewa atasema ahsante. Ni ustaarabu tu.
Siyo kila utamaduni ni utamaduni mzuri.Kusema asante pale unapopewa haki yako siyo jambo sahihi wala siyo jambo zuri.

Wenye akili timamu tunakataa kushukuru pale ambapo mtu unapewa haki yako kwa sababu hili litamfanya anaetoa haki aone kuwa kutoa haki ni mapenzi yake au ni kudra yake au ni hisani yake au ni hiari yake wakati suala la kutoa haki ni la lazima kwa sababu lipo kwa mujibu wa katiba na sheria.

Hili suala la viongozi wetu kuona kuwa kutupa haki zetu ni mapenzi yao limesababisha waongoze nchi hii kwa kudra na hisani yao badala ya kuongoza kwa mujibu wa katiba na sheria.

Suala hili limesababisha viongozi wetu kuona kuwa katiba siyo chochote wala lolote kwa sababu watu kama ninyi mmeshawafanya viongozi wetu waone kuwa kutupa haki zetu ni hiari yao na wala siyo takwa la katiba.
 
Sawa, kamsujudie Mbowe.

Huo ndio utamaduni unaouweza kwa asilimia 100.
 
Sawa, kamsujudie Mbowe.

Huo ndio utamaduni unaouweza kwa asilimia 100.
 
Sawa, kamsujudie Mbowe.

Huo ndio utamaduni unaouweza kwa asilimia 100.
 
Mkuu Mimi nishaweka index number imekubali .Ila tatizo nikiweka zile security code inagoma eti mpaka ziwe at least 6 characters. Lakini hizo herifu wanazo toa azifiki 6 ni 4 tu.
Kumbe sipo peke yangu.
Je enyi majamaaa mfanyaje kupata 6 characters security code?
Nimetumia browser zote maarufu sijaambulia kitu
 
Sawa, kamsujudie Mbowe.

Huo ndio utamaduni unaouweza kwa asilimia 100.
Sasa hapa ndiyo umejenga hoja?CCM mna matatizo gani hadi mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?!Kama wewe ni mwanaume pambana na mimi kwa hoja na wala siyo talalila za hapa na pale!WTF!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…