Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

Huenda lengo ni kuficha pia uchafu wake kwenye ile Wizara inayoendelea kutulaza giza. The Guy is intelligent maana amefifisha mjadala wa bajeti ya wizara yake lkn pia kumtengenezea Mtawala wa sasa wakati mgumu hapo 2025/2030!
 
Huyu atasakwa na uvccm nje ndani!!!
 
Nchi hii ipo na watu wapo viapo vya utaifa kwanza wengine ndo wale bora liende, hatujui japo alievujisha ni kwa maslahi binafsi au kwa uzalendo wa nchi yake but kwa kwanzia nami nampongeza
 
Ntumie huu mkataba.
 
Nihivi mambo ya kufungana minyororo yalisha pitwa na wakati hatutaki tena kuludi huko

Kama kuna mtu anawapenda sana waarabu siivibaya akasilimisha hata ulaia wake ili tu mjuwe vizuri

Madhara waliyo yapata babu zetu yanatosha sana
 
wanataka tufungwe minyororo kama babu zetu wa kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…