Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Dua zetu anazo zakutoshaMimi nafikiri aliye vujisha mkataba huyo ni mzalendo 1 ila hawa wengine hata sijui tu waweke kundi gani
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua zetu anazo zakutoshaMimi nafikiri aliye vujisha mkataba huyo ni mzalendo 1 ila hawa wengine hata sijui tu waweke kundi gani
Duu halafu wanao jaribu kuzima kelele hawajui kutafsiri mambo mengiAbarikiwe sana, ila kuhusu mkataba, kazi ya kelele iendelee:
Huenda lengo ni kuficha pia uchafu wake kwenye ile Wizara inayoendelea kutulaza giza. The Guy is intelligent maana amefifisha mjadala wa bajeti ya wizara yake lkn pia kumtengenezea Mtawala wa sasa wakati mgumu hapo 2025/2030!Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo muungano wa TAnzania bara na Tanzania visiwani.
swali kubwa sasa tunafanyaje sasa wakati mfalme kasha saini? na Bunge lao la JMT limesharidhia,? je tunazimaje kelele za watu nje? wapo wanaosema tuwaache huu ni upepo tu utapita, wapo wanaowaza funika kombe mwanaharamu apite, sisi tunendee kutekeleza jambo letu, wapo wanaosema, lakini upande wa pili pia wapo wanaosema, hatutanyamaza kamwe mpaka mpaka kieleweke,?
lakini nani shujaa?
kwangu mimi, nimpongeze mtanganyika mwenzetu popote alipo apokee maua yake kwa kutoa zawadi kubwa kwa watanganyika wenzake, maana watawala na wataliwa wote wamezama kwenye mdahalo ambao chanzo chake hakijulikani, na hakuna hata aliyepinga kuwa mkataba huu ni fake, na wote tunarejea (nukuu zetu) ni kwenye mkataba huo huo. ni ishara wazi kuwa ndani ya serikali tuna wenzetu ambao ni wazalendo na hawapendi kuona ujinga ukitendeka, na ndio maana wamekuwa tayari kujitoa na kuonyesha wenzao nini kinaendelea katika nchi yao, kwa hiyo ni kazi yao na si yake tena.
napongeza sana juhudi za mwenzetu, na Mungu ampe maisha marefu, yeye na vizazi vyake vyote.
Mungu ibariki Tanganyika na watu wake wote.
Huyu atasakwa na uvccm nje ndani!!!Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo muungano wa TAnzania bara na Tanzania visiwani.
swali kubwa sasa tunafanyaje sasa wakati mfalme kasha saini? na Bunge lao la JMT limesharidhia,? je tunazimaje kelele za watu nje? wapo wanaosema tuwaache huu ni upepo tu utapita, wapo wanaowaza funika kombe mwanaharamu apite, sisi tunendee kutekeleza jambo letu, wapo wanaosema, lakini upande wa pili pia wapo wanaosema, hatutanyamaza kamwe mpaka mpaka kieleweke,?
lakini nani shujaa?
kwangu mimi, nimpongeze mtanganyika mwenzetu popote alipo apokee maua yake kwa kutoa zawadi kubwa kwa watanganyika wenzake, maana watawala na wataliwa wote wamezama kwenye mdahalo ambao chanzo chake hakijulikani, na hakuna hata aliyepinga kuwa mkataba huu ni fake, na wote tunarejea (nukuu zetu) ni kwenye mkataba huo huo. ni ishara wazi kuwa ndani ya serikali tuna wenzetu ambao ni wazalendo na hawapendi kuona ujinga ukitendeka, na ndio maana wamekuwa tayari kujitoa na kuonyesha wenzao nini kinaendelea katika nchi yao, kwa hiyo ni kazi yao na si yake tena.
napongeza sana juhudi za mwenzetu, na Mungu ampe maisha marefu, yeye na vizazi vyake vyote.
Mungu ibariki Tanganyika na watu wake wote.
dahKwakweli tungeshitukia tuna opolewa kama samaki baharini
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
mbona kama unataka kumtaja mtu, pls pls kimya kimyaHuenda lengo ni kuficha pia uchafu wake kwenye ile Wizara inayoendelea kutulaza giza. The Guy is intelligent maana amefifisha mjadala wa bajeti ya wizara yake lkn pia kumtengenezea Mtawala wa sasa wakati mgumu hapo 2025/2030!
huyu mtu ni wa kumuombea sana ni lulu katika taifa letu,Sana kabisa. Jamaa amefanyakazi ya kutukuka. Mungu amuogozee zaidi na zaidi ujasiri huu.
kwa kweli aliongozwa na Mungu, si vinginevyo, natamani atoe story yake jinsi alivyovujisha mkataba, aandike kitabu hata baada ya kufa itakuwa ni story ya kusomwa vizazi na vizaziMimi nafikiri aliye vujisha mkataba huyo ni mzalendo 1 ila hawa wengine hata sijui tu waweke kundi gani
Nchi hii ipo na watu wapo viapo vya utaifa kwanza wengine ndo wale bora liende, hatujui japo alievujisha ni kwa maslahi binafsi au kwa uzalendo wa nchi yake but kwa kwanzia nami nampongezaWiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo muungano wa TAnzania bara na Tanzania visiwani.
swali kubwa sasa tunafanyaje sasa wakati mfalme kasha saini? na Bunge lao la JMT limesharidhia,? je tunazimaje kelele za watu nje? wapo wanaosema tuwaache huu ni upepo tu utapita, wapo wanaowaza funika kombe mwanaharamu apite, sisi tunendee kutekeleza jambo letu, wapo wanaosema, lakini upande wa pili pia wapo wanaosema, hatutanyamaza kamwe mpaka mpaka kieleweke,?
lakini nani shujaa?
kwangu mimi, nimpongeze mtanganyika mwenzetu popote alipo apokee maua yake kwa kutoa zawadi kubwa kwa watanganyika wenzake, maana watawala na wataliwa wote wamezama kwenye mdahalo ambao chanzo chake hakijulikani, na hakuna hata aliyepinga kuwa mkataba huu ni fake, na wote tunarejea (nukuu zetu) ni kwenye mkataba huo huo. ni ishara wazi kuwa ndani ya serikali tuna wenzetu ambao ni wazalendo na hawapendi kuona ujinga ukitendeka, na ndio maana wamekuwa tayari kujitoa na kuonyesha wenzao nini kinaendelea katika nchi yao, kwa hiyo ni kazi yao na si yake tena.
napongeza sana juhudi za mwenzetu, na Mungu ampe maisha marefu, yeye na vizazi vyake vyote.
Mungu ibariki Tanganyika na watu wake wote.
Ntumie huu mkataba.Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo muungano wa TAnzania bara na Tanzania visiwani.
swali kubwa sasa tunafanyaje sasa wakati mfalme kasha saini? na Bunge lao la JMT limesharidhia,? je tunazimaje kelele za watu nje? wapo wanaosema tuwaache huu ni upepo tu utapita, wapo wanaowaza funika kombe mwanaharamu apite, sisi tunendee kutekeleza jambo letu, wapo wanaosema, lakini upande wa pili pia wapo wanaosema, hatutanyamaza kamwe mpaka mpaka kieleweke,?
lakini nani shujaa?
kwangu mimi, nimpongeze mtanganyika mwenzetu popote alipo apokee maua yake kwa kutoa zawadi kubwa kwa watanganyika wenzake, maana watawala na wataliwa wote wamezama kwenye mdahalo ambao chanzo chake hakijulikani, na hakuna hata aliyepinga kuwa mkataba huu ni fake, na wote tunarejea (nukuu zetu) ni kwenye mkataba huo huo. ni ishara wazi kuwa ndani ya serikali tuna wenzetu ambao ni wazalendo na hawapendi kuona ujinga ukitendeka, na ndio maana wamekuwa tayari kujitoa na kuonyesha wenzao nini kinaendelea katika nchi yao, kwa hiyo ni kazi yao na si yake tena.
napongeza sana juhudi za mwenzetu, na Mungu ampe maisha marefu, yeye na vizazi vyake vyote.
Mungu ibariki Tanganyika na watu wake wote.
Naupata wapi mkataba.Mimi nafikiri aliye vujisha mkataba huyo ni mzalendo 1 ila hawa wengine hata sijui tu waweke kundi gani
Kiongozi Zanzibar aiporomoshea matusi bara. Sikiliza dakika ya 9.15 hadi ya 12.
wanataka tufungwe minyororo kama babu zetu wa kaleNihivi mambo ya kufungana minyororo yalisha pitwa na wakati hatutaki tena kuludi huko
Kama kuna mtu anawapenda sana waarabu siivibaya akasilimisha hata ulaia wake ili tu mjuwe vizuri
Madhara waliyo yapata babu zetu yanatosha sana
yeyeto aliyefany hiki kitendo anastahili nishani , huyu mtu ni shujaa wa taifa kwaliMi wa kwanza kumsikia alikuwa LUHAGA MPINA
Huyu jina lake limeandikwa mbinguni.Kwakweli alipo huyo mtu Mungu amlinde na kumtunza miaka mingi na afya tele kwake.