mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Waliopo nyumba jeupe wengi watakula kifinyo sana kwa wazee wa suti nyeusi au yoga ndo katupenyezea mzigo alafu akarudi kujikausha Kama sio yeyembavu zangu mie, nazani watakua wanaangalia kamera zote tangu watu walipotoka dubai nani aliingia chumba cha maangamizi, lakini mwamba sijui alikuwa. maana documenti kama ile ni nyara ya taifa ukikutwa nayo lazima uoge zote, lakini mwamba kawapa watanganyika wote wasome
Tunaliamsha kutaka serikali moja, wazenji mtaharishaaa, tunajua hicho peke yake mnakiogopa😂😂😂Mkataba haujavuja wala kuvujushwa.
Mkataba ukishafika bungeni ukajadiliwa na bunge lote basi huo umeshakuwa public.
Wabunge wanawakilisha wananchi.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hujui chochote maskini ya Mungu,Mkataba haujavuja wala kuvujushwa.
Mkataba ukishafika bungeni ukajadiliwa na bunge lote basi huo umeshakuwa public.
Wabunge wanawakilisha wananchi.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
AlhamduliLlah. Umasikini sina, usimkufuru Mungu.Hujui chochote maskini ya Mungu,
hatujapost mkataba hapa, tunampongeza shujaa wetu period.AlhamduliLlah. Umasikini sina, usimkufuru Mungu.
Jadili mkataba, wachana na mimi binafsi, hunijuwi sikujuwi.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa
Asiwasemee wazanzibari. Aende kwao, Oman.
Kiongozi Zanzibar aiporomoshea matusi bara. Sikiliza dakika ya 9.15 hadi ya 12.