Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

mbavu zangu mie, nazani watakua wanaangalia kamera zote tangu watu walipotoka dubai nani aliingia chumba cha maangamizi, lakini mwamba sijui alikuwa. maana documenti kama ile ni nyara ya taifa ukikutwa nayo lazima uoge zote, lakini mwamba kawapa watanganyika wote wasome
Waliopo nyumba jeupe wengi watakula kifinyo sana kwa wazee wa suti nyeusi au yoga ndo katupenyezea mzigo alafu akarudi kujikausha Kama sio yeye
 
Mkataba haujavuja wala kuvujushwa.

Mkataba ukishafika bungeni ukajadiliwa na bunge lote basi huo umeshakuwa public.

Wabunge wanawakilisha wananchi.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tunaliamsha kutaka serikali moja, wazenji mtaharishaaa, tunajua hicho peke yake mnakiogopa😂😂😂
 

Attachments

  • FB_IMG_1687285449187.jpg
    FB_IMG_1687285449187.jpg
    63.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom