Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa.

Majimbo ya Tanga hayana maendeleo pamoja kuichagua CCM, safari hii wanadai wanabadili watawala wapate ladha ya upinzani.

Hongereni Sasa, fanyeni maamuz sahihi 28/10
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
 
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo pamoja kuichagua CCM, safari hii wanadai wanabadili watawala wapate ladha ya upinzani.

Mmmh eka ti tegheeze ndivyo iituke
 
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo pamoja kuichagua CCM, safari hii wanadai wanabadili watawala wapate ladha ya upinzani.

Hongereni Sasa, fanyeni maamuz sahihi 28/10
Akili mgando ndo mtaji wa ccm.. Saivi watu hawadanganyiki
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Mungu akubariki
Na nadhani kuna kitu kinafanywa kwenye secondary zao ili wasisome
 
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo pamoja kuichagua CCM, safari hii wanadai wanabadili watawala wapate ladha ya upinzani.

Hongereni Sasa, fanyeni maamuz sahihi 28/10
Jimbo gani Lina maendeleo kwa kuichagua chadema au Act au Cuf?
 
wagosi & wagogo lao moja woote ccm tuu, moja ya sababu maeneo yao kuwa nyuma sana kimaendeleo...huwezi ukakumbatia ccm ubaki salama hiyo ndio gharama yake!.
Kila mtu anayo haki ya kumchagua amtakeye, mbona kama mnalazimisha watu wachague mpendacho nyinyi?
 
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo pamoja kuichagua CCM, safari hii wanadai wanabadili watawala wapate ladha ya upinzani.

Hongereni Sasa, fanyeni maamuz sahihi 28/10
Unafikiri sisi watu wa tanga tunamaendeleo duni kama huko kwenu kanyamkule? Magu 5 tena, tunataka maendeleo sio kubwabwaja!
 
Back
Top Bottom