Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Hakuna mtu analazimika ila huo Ndio ukweli
Bongo lala Ndio mtaji wa CCM
Wasomi ni wapinzani
Kama chadema mmeshindwa kushawishi hata 'MABONGOLALA' wawe nanyi basi hamfai hata kuwa viongozi wa familia zenu. Hivi unamshindwaje 'bongolala'?
 
Hayaa ni maneno mbofuu mbofuu , Tangaa lamiii mpaka choonii, maji 24hrs, umeme upo grid ya Taifaaa, watu wanalimaaa vizuri, wanavua, VIWANDA kibao nafikir baada ya Dar ni Tanga, Kijana Tanga tuko mbali Sana, maneno yako yamezeeka
Tanga mgekua mbali sana lakini miji kama Arusha. Mwwnza. Kilimanjaro. Mbeya imewapita na Tanga vijijini Ndio shida kabisa
 
Tanga mgekua mbali sana lakini miji kama Arusha. Mwwnza. Kilimanjaro. Mbeya imewapita na Tanga vijijini Ndio shida kabisa
Tumekubali kupitwaa na Mbeya, Mwanza,Arusha, KLM lakini sio hizo taka taka nyingine, Sawa Sawa
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Asilimia nyingi ya waislam kama Dodoma (kondoa ,irangi ),singida ,ni maskini wa kutupwa na wote ni ccm
 
Tumekubali kupitwaa na Mbeya, Mwanza,Arusha, KLM lakini sio hizo taka taka nyingine, Sawa Sawa
Lakini hii mikoa miaka 30 iliopita ilikua haifikii Tanga hata nusu
Na hizo taka taka zinakuja kwa kiasi na Tanga imedumaa
 
Ebu niambie % ngapi Tanga vijijini wanapataaa maji, halafuu uje u niambie kwa mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, na Singidaaa kwa Lissu
Tanga ni mji uliodumaa
La sivyo watu wa tanga wangekua wajanja na CCM ingeanguka
Kilimanjaro 100% maji mengi
Singida ni mkoa kame ila kuna mashirika kama TCRA yamechimba visima karibu vijiji vyote
 
Lakini hii mikoa miaka 30 iliopita ilikua haifikii Tanga hata nusu
Na hizo taka taka zinakuja kwa kiasi na Tanga imedumaa
Ata China anamfukuzia US, lakini miaka ya 60 tulikuwa nae Sawa, hii Aina maana EUROPE wamechoka hapana uwezi zuia harakati za mtu, hizo taka taka Wana tafuta ambacho sisi tunachoo sio tatizo, ila marufuku kulinganisha nao
 
Tanga imedumaa mikoa mingine inaendelea huoni totauti?
Kwanza watu wenu wengi bongo lala
Hata kwenye mitihani mpo chini Sana
 
Tanga ni mji uliodumaa
La sivyo watu wa tanga wangekua wajanja na CCM ingeanguka
Kilimanjaro 100% maji mengi
Singida ni mkoa kame ila kuna mashirika kama TCRA yamechimba visima karibu vijiji vyote
Nani kakwambia ujanja ni kuangusha ccm? Tanga ni 89% wanakunywa maji saafi na salama, Singida wanakunywa maji na mifugooo kule kwa Lissu, dogo acha mahabaaaaa, halafuu niambie KLM Kuna Majimbo Mangapi na wapinzani wanayoo Mangapi?
 
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
 
Tanga imedumaa mikoa mingine inaendelea huoni totauti?
Kwanza watu wenu wengi bongo lala
Hata kwenye mitihani mpo chini Sana
Mikoaa mingine ipi? ni mikoa 5 tu tena Yale majiji ndio Tanga tunaonaa yametuzidi , hiyo minginee hakuna kitu, Elimu ipi unayosema wewe
 
Back
Top Bottom