Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Hakuna mtu analazimika ila huo Ndio ukweli
Bongo lala Ndio mtaji wa CCM
Wasomi ni wapinzani
Mnalazimisha watu demokrasiaaa wakati nyie wenyewe mnaikana kwa maneno yenu! !kila Raia anayo haki kumchagua amtakaye muwe mnaheshimu mawazo ya watu
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Tutajie ambacho kipo Songwe halafuu Tanga hakuna?
Hivi Sasa kunajengwa hospitali kubwa ya kisasa inazidi hospitali ya bombo mbali sana
Kuna stand mpya ya kisasa ipo kwenye ujenzi ya Tanga cha mtoto
Kuna vyuo vikuu viwili vipo kwenye mpango
Uwanja wa mpira wa kisasa unajengwa sio kama mkwakwani
Hii miji inaeendelea lakini Tanga inadumaa mpaka Leo mnatumia vitu vya wakoloni
 
Unafikiri sisi watu wa tanga tunamaendeleo duni kama huko kwenu kanyamkule? Magu 5 tena, tunataka maendeleo sio kubwabwaja!
Mkipata maendeleo waswahili wa pwani mtakua kama watu wa Kilimanjaro na arusha na mkiwa wajanja CCM itaanguka
Kwa hio lazima mkandamizwe maana mtaji wa CCM ni mafukara na darasa la saba
 
Hivi Sasa kunajengwa hospitali kubwa ya kisasa inazidi hospitali ya bombo mbali sana
Kuna stand mpya ya kisasa ipo kwenye ujenzi ya Tanga cha mtoto
Kuna vyuo vikuu viwili vipo kwenye mpango
Uwanja wa mpira wa kisasa unajengwa sio kama mkwakwani
Hii miji inaeendelea lakini Tanga inadumaa mpaka Leo mnatumia vitu vya wakoloni
1.Tanga hospital ya Mkoa ipo bombo, Songwe ndio inajengwa maana yake Songwe ni mkoa ambao hauna hospital
2.Tanga tumemaliza stendii ya Mkoa Kangee, wakati Songwe hawana ndio INAJENGWA
3.Tanga Kuna vyuo kibao vipooo, Songwe ndio wanaanzaa na viwili
4.Mkwakwani ni uwanja unaochezewa VPL , Songwe ndio wanajiandaa kujenga
5.Kutumia vitu vya mkoloniii sio tatizo Ata Ikulu ya kivukoni ni mkoloniii, Kijana jipange uje na hoja
 
Unataka kulinganisha jiji la muda mrefu na mkoa wa juzi ambao hata ofisi za serikali hazijajengwa?
Ni kweli Tanga ni mji ulikua umeendelea Sana wakati tunapata uhuru lakini,,,,
Kunani Tanga mbona kila kitu kimekufaaa
Tena unasema Tanga mjini
Vijijini mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti. Hakuna maji
Hakuna umeme
Shida, umaskini, ujinga umejaa huko
 
Mkipata maendeleo waswahili wa pwani mtakua kama watu wa Kilimanjaro na arusha na mkiwa wajanja CCM itaanguka
Kwa hio lazima mkandamizwe maana mtaji wa CCM ni mafukara na darasa la saba
Watu wa kilimanjaro na Arusha Hawa ni ndugu zetu kwa taarifaa yako adi baadhi ya koo tuna share mfano Msuya n.k, Tanga tumewaacha wengi mbali Sana
 
Ni kweli Tanga ni mji ulikua umeendelea Sana wakati tunapata uhuru lakini,,,,
Kunani Tanga mbona kila kitu kimekufaaa
Tena unasema Tanga mjini
Vijijini mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti. Hakuna maji
Hakuna umeme
Shida, umaskini, ujinga umejaa huko
Tanga ni JIJI sio mji nawekaa kumbukumbu Sawa
 
1.Tanga hospital ya Mkoa ipo bombo, Songwe ndio inajengwa maana yake Songwe ni mkoa ambao hauna hospital
2.Tanga tumemaliza stendii ya Mkoa Kangee, wakati Songwe hawana ndio INAJENGWA
3.Tanga Kuna vyuo kibao vipooo, Songwe ndio wanaanzaa na viwili
4.Mkwakwani ni uwanja unaochezewa VPL , Songwe ndio wanajiandaa kujenga
5.Kutumia vitu vya mkoloniii sio tatizo Ata Ikulu ya kivukoni ni mkoloniii, Kijana jipange uje na hoja
Kweli Tanga ni mji ulikua mbali Enzi za ukoloni kuliko arusha wala mwanza
Sasa songwe ni mkoa mpya unajengwa kwa kasi hivi Tanga mjengo yamechoka kabisa
Tanga ni mji uliodumaa hauendelei
Watu wa Tanga vijijini mpaka Leo hakuna maji. Umeme. Zahanati. Wanasoma chini ya miti
Umaskini na ujinga Ndio pahala pake
 
Watu wa kilimanjaro na Arusha Hawa ni ndugu zetu kwa taarifaa yako adi baadhi ya koo tuna share mfano Msuya n.k, Tanga tumewaacha wengi mbali Sana
Hata Kama ni ndugu baba mmoja na mama mmoja
Huwezi kulinganisha watu wa Kilimanjaro na wa tanga kwa upeo wa akili na uchumi
 
Hatuwezi fanana ila Hatuwezi kuwa Sawa na Hao wengine unaotufananisha , sijui Songwe uwe na adabu, Arusha , Mbeya, Mwanzaa, Kilimanjaro ,Dar Sawa ila sio hizo blah blah nyingine
 
Tanga ni jiji lililodumazwa
Tanga vijijini umaskini na ujinga wa kutisha
Hayaa ni maneno mbofuu mbofuu , Tangaa lamiii mpaka choonii, maji 24hrs, umeme upo grid ya Taifaaa, watu wanalimaaa vizuri, wanavua, VIWANDA kibao nafikir baada ya Dar ni Tanga, Kijana Tanga tuko mbali Sana, maneno yako yamezeeka
 
Hatuwezi fanana ila Hatuwezi kuwa Sawa na Hao wengine unaotufananisha , sijui Songwe uwe na adabu, Arusha , Mbeya, Mwanzaa, Kilimanjaro ,Dar Sawa ila sio hizo blah blah nyingine
Tanga ni kama lindi. Mtwara. Tabora. Mafya n,k
 
Kweli Tanga ni mji ulikua mbali Enzi za ukoloni kuliko arusha wala mwanza
Sasa songwe ni mkoa mpya unajengwa kwa kasi hivi Tanga mjengo yamechoka kabisa
Tanga ni mji uliodumaa hauendelei
Watu wa Tanga vijijini mpaka Leo hakuna maji. Umeme. Zahanati. Wanasoma chini ya miti
Umaskini na ujinga Ndio pahala pake
Ahahahhahaha Tanga ndio mkoa wenye maji ya uhakika kabisa, baada ya Kilimanjaro, huku atuogei chumviii tunaogeaa maji baridi, ukijaaa hapo usikurupuke
 
Back
Top Bottom