Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Ahahahhahaha itakuwaaaaa Singidaaa masharikii kwa Lissu, wanakunywa maji na wanyama
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
Watu, mbwa ngombe fisi punda wote bwawa moja. shidaaaaaaaaaaaaaaa
 
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
Wachagaaaaaaaa ni kama maji popotee wapo, ila Wachagaaaaaaaa wanafahamu kuwa kwa Tanga mjini wapinzani wao kibiashara ni wagosi
 
1.Tanga hospital ya Mkoa ipo bombo, Songwe ndio inajengwa maana yake Songwe ni mkoa ambao hauna hospital
2.Tanga tumemaliza stendii ya Mkoa Kangee, wakati Songwe hawana ndio INAJENGWA
3.Tanga Kuna vyuo kibao vipooo, Songwe ndio wanaanzaa na viwili
4.Mkwakwani ni uwanja unaochezewa VPL , Songwe ndio wanajiandaa kujenga
5.Kutumia vitu vya mkoloniii sio tatizo Ata Ikulu ya kivukoni ni mkoloniii, Kijana jipange uje na hoja
Ishu ni hii; Mna hela?
 
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
Nimemaliza 89% Tanga maji Safi na salama, Alie juu yetuu ni KLM,
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Waislamu wanaingiaje tena hapa! Una taarifa kwamba matajiri wakubwa hapa Tanzania ni waislamu?
 
Ndio nakwambia hawapo kwenye uchumi Wana ganga njaa tu
Biasharaaaa ni akili sio Aina ya biasharaaaa, Bakhresa anauza ICE CREAM, na anatusua, acheniii kasumba mnachomekea kumbe Laki 8 kwa mwezi, huku muuza chips anakuzunguka mara 4, unaishiaaaaa kutumikishwa na wahindiii na wa china
 
Back
Top Bottom