Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Utafananisha na kwenu? kuna nyumba za tembe Moshi kama Dodoma?
Tembeee sio tatizo na umeme wanawekewa, maji wanapataaa , wakitakaaa Kuja mjini lamiii ya uhakika, Dar yenyeweee Ina Tembe itakuwaaaaa Tanga
 
Ni kweli Tanga ni mji ulikua umeendelea Sana wakati tunapata uhuru lakini,,,,
Kunani Tanga mbona kila kitu kimekufaaa
Tena unasema Tanga mjini
Vijijini mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti. Hakuna maji
Hakuna umeme
Shida, umaskini, ujinga umejaa huko
Kwa mkoa wa TANGA Ni Tanga mjini tu kunaeleweka kwengine kote Ni shaghala bhaghala .

Nimeishia Tanga na nimetembea wilaya nyingi za huo mkoa naujua nje ndani .

Wagosi Ni tabu Sana kuelewa siasa za upinzani

Kule CCM damu damu na umasikini damu damu
 
Huna akili hao wakilimanjaro na arusha wana akili gani taja tanzania
Hata Kama ni ndugu baba mmoja na mama mmoja
Huwezi kulinganisha watu wa Kilimanjaro na wa tanga kwa upeo wa akili na uchumi
One wa asili ya arusha na moshi wezi tu wamitihani akili hawana kama hujui tanga watu wanaakili za kuzaliwa sio lazima wasome kwanza wachaga ni washamba kavaeni mitumba mbele

Mlipata nafasi mkaingizana kweny ajira za serikali basi mnajiona wajuaji mbona moshi ni pori na arusha kuna mahoteli ya kitalii wenyeji njaa mikoa ya kichoko yote
 
Back
Top Bottom