Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Sawa bibie tusubirie muda utaongea.
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Lissu akipata hata kura laki tano mkatambike
 
Sahihi sijui kwanini waislamu wanaipenda sn CCM
Ni haki yao ya kidemokrasia
Inawapa umaskini sn
Nani kapata utajiriii kwa kuikataa ccm? Utajiriii ni harakatiii za mtu, halafuu mara zote mkiambiwa jimbo la upinzani limekosaaa maendeleo majibu yenu upinzani haukusanyi kodi, kama Mwanza ile ccm imetamalaki, Arusha vijimbo vya upinzani viwili tu, Mbeya sijui vitatu, halafuu mnabwataaa wewe utafikir mmechukua mkoa mzimaaa mnastaajabisha
 
Unajibu kinyonge sana baada ya kupata uhalisia wa mambo.

Magufuli mwenyewe kaenda akapigwa na butwaa kwa maendeleo makubwa kwenye majimbo ya wapinzani kuliko majimbo yaliyoongozwa na ccm.

Anabaki kunadi taa za barabarani utafikiri wananchi wanakula taa za barabarani

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Uhalisia upiii unaotangaza wewe mkoa masikini kuliko yote ni Kigoma upinzani Tele, nimekwambia lete hapa tafitiii za BOT tujue Nani msema kweliii, Mwanza ccm, Mbeya ccm kasoro vijimbo sijui 3, Arusha Ccm kasoroo vijimbo viwiliii( waliungaaa juhudi baada ya waliomfata Lowassa kuunga juhudi ), mkipiga kelele angalau mgawane nusu na ccm Majimbo ya mkoa husika, sio vijimbo viwiliii mkoan mnabwataaa kama Bata na kuita eti huo mkoa wa upinzani ni maajabu
 
Kila mtu anayo haki ya kumchagua amtakeye, mbona kama mnalazimisha watu wachague mpendacho nyinyi?
mie sijakulazimisha uchague nnachotaka mie, nimekupa tu picha ya hali ilivyo...we chunguza utaona ukweli.
 
Ni haki yao ya kidemokrasia

Nani kapata utajiriii kwa kuikataa ccm? Utajiriii ni harakatiii za mtu, halafuu mara zote mkiambiwa jimbo la upinzani limekosaaa maendeleo majibu yenu upinzani haukusanyi kodi, kama Mwanza ile ccm imetamalaki, Arusha vijimbo vya upinzani viwili tu, Mbeya sijui vitatu, halafuu mnabwataaa wewe utafikir mmechukua mkoa mzimaaa mnastaajabisha
Mpuuzi nini Arusha, Moshi zinafanana na Singida au Tanga?
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Acha udini,jamii ipi ya kikristo iliyo na maendeleo?endelea kujidanganya,wapi wanaposomea chini ya miti
 
Mpuuzi nini Arusha, Moshi zinafanana na Singida au Tanga?
Arusha, Moshi na Tanga hakuna tatizo la maji, umeme wala barabara, mda wowoteee saaa yeyote panaendeka kwa urahisi, hakuna njaa ya vyakulaaa, ni miji inayojitosheleza kwa kila kitu, hakuna mtu atapataaa kazi Tanga akakataa, jichanganye upateee Singida Mashariki kwa lissu
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya mitis
Sisi tunajua kuweka rangi ndevu zetu nyingi kwenye videvu vyetu!
 
Arusha, Moshi na Tanga hakuna tatizo la maji, umeme wala barabara, mda wowoteee saaa yeyote panaendeka kwa urahisi, hakuna njaa ya vyakulaaa, ni miji inayojitosheleza kwa kila kitu
Umewahi sikia Moshi au Arusha kuna tatizo la madawati au madarasa, maji na huduma za afya? jifunze
 
Umewahi sikia Moshi au Arusha kuna tatizo la madarati au madarasa, maji na huduma za afya? jifunze
Hakuna sehemu ambako hakuna matatizo , mfano kama Rau secondary wazazi wanajitolea kuchangia sio kwamba hakuna matatizo,elewaaa wewe Ata US masikiniii wa kutupwaaa wapo
 
Washawishi wachague upinzani wapate maendeleo kama ya msasani shamba la mpunga au Bunju na Ununio. Halima Mdee alikuwa na Mkutano juzi huko nyomi ya watu si zaidi ya 200.

Ni makosa kuchagua mbunge ambaye anaenda bungeni kuziria vikao halali ili apate muda zaidi wa kwenda kutumbua marupuru manono ya kibunge baa. Watu wasio jitambua ndio watafanya hivyi.
 
Back
Top Bottom