Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Yawezekana ulicho kiandika umekiandika haraka na kwa wepesi sana lakini ndani yake kina tafsiri ngumu na kubwa sana
 
Waislamu wanaingiaje tena hapa! Una taarifa kwamba matajiri wakubwa hapa Tanzania ni waislamu?
Wapo matajiri waislamu na wapo Wasomi waislamu lakini tunasema waislam walio wengi ni darasa la saba na Ndio masikini wa kutisha
Angalia mikoa ya waislamu wenzetu bado watoto wanasoma chini ya miti
 
Biasharaaaa ni akili sio Aina ya biasharaaaa, Bakhresa anauza ICE CREAM, na anatusua, acheniii kasumba mnachomekea kumbe Laki 8 kwa mwezi, huku muuza chips anakuzunguka mara 4, unaishiaaaaa kutumikishwa na wahindiii na wa china
Wewe upeo wako mdogo unafikiri Bakhresa anauza ICE cream kama yule mama saidi
Bakhresa ni Azam compony inauzwa vitu vingi wewe unajua Ice cream tu
 
Uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Niko horohoro huku, maji mpaka leo tunatumia ya madimbwi, na madimbwi hayo hayo tunatumia na mifugo. Maisha ya watu huku ni duni kuliko maelezo.
 
Wapo matajiri waislamu na wapo Wasomi waislamu lakini tunasema waislam walio wengi ni darasa la saba na Ndio masikini wa kutisha
Angalia mikoa ya waislamu wenzetu bado watoto wanasoma chini ya miti
Ebu tuletee list ya mikoaa masikini Tanzania? KWA mujibu wa BOT?
 
Unaota wewe ndoto za alinacha!
Ni kweli hata Dkt Bashiru amesema Wasomi na wenye uchumi wengi nchi hii hawapendi CCM ila wale wenye maslahi serikalini na mtaji mkubwa wa CCM ni darasa la saba na watu masikini ambao wengi wao ni waislamu wenzangu
 
Mbeya mjini, karatu, Kigoma mjini, Bunda, Tarime mjini,Moshi Mjini, Arusha, Arumeru Mashariki, Kawe, Bukoba mjini,

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mnasikitishaaaa sana Majimbo yote ya upinzani umepata hayaa tu, ebu tuambieee Kigoma mjini Kuna nini Ata lamiiiii hakuna ya kuunganisha mkoa ahahahaha,
 
Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Sahihi sijui kwanini waislamu wanaipenda sn CCM
 
Mimi sijui vigezo vya BOT lakini mimi nimetembea Sana Tanzanian na ninaona miji yote ambayo waislam ni wengi ni miji yenye umaskini wa kutisha
Lete Data za BOT acha maneno ya mtaani kelele za nini? tutajuaaaaa
 
Back
Top Bottom