Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

Hizi taarifa za ubakaji zimekuwa nyingi sasa katika jamii.
 
Kama alifanya kosa akiwa under age mbona hakupelekwa Juvenile court?

Sasa Panya road si ndio umri wao huo? Nao wawe treated under Juvenile?

Tunahitaji marekebisho ya sheria ziendane na wakati na uhalisia.
Hivi wewe umekazana kutetea panya Road, wewe ndiyo sponsor wao nini,maana unaumia sana wanavyokamatwa?
 
Angembaka binti yangu na mimi ninge.....😑
 
hakimu amutumia hekma sana aisee..ukilinganisha umri wa aliyebakwa na mbakaji ...unaweza kuta mbakaji ana umbo dogo kuliko aliyebakwa...na huenda alimtega mwenzake
 
Kwa nini kumchapa binadamu mwenzio?

Ahukumie miaka/miezi ama/na hela. Viboko sio kitu na ni ubinadam.
 
Huyu angeshitakiwa kama mtum mzima.... umri sio namba tu, umri ni majukumu... kama kaweza kubaka, ni mtu mzima huyo!
 
Viboko sita vile sio mchezo mtu anakunya kabisaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Acha utani aisee.
Nakumbuka sisi tulikuwa tunalala chini alafu wanapita walimu kama saba hivi wanapiga bila kuhesabu zaidi ya tanotano hivi na wanarudia karibu saa nzima. Ukitoka hapo sio chini ya 50 alafu wakati mwingine kosa hatukufanya sisi.

Hivyo vibakora sita mwanaume unapigwa bila hata kufuta wala kugusa, hausikii chochote yaani.
 
Mzee ile stick ya kule ni maalumu acha kabisaaaa, weka mbali na watoto.. Hizo za shule mnapalazwaa tu πŸ˜„πŸ˜„
 
Mzee ile stick ya kule ni maalumu acha kabisaaaa, weka mbali na watoto.. Hizo za shule mnapalazwaa tu πŸ˜„πŸ˜„
Kuna ticha mmoja misifa alikuwa anajulika shule nzima anapiga kiunoni kudadadeki.
Sasa imagine bakora size ya kidole gumba ishuke kiunoni kwa nguvu zote za mtu mzima.

Hujawahi kupitia maisha ya kipigo aisee.
 
Kuna ticha mmoja misifa alikuwa anajulika shule nzima anapiga kiunoni kudadadeki.
Sasa imagine bakora size ya kidole gumba ishuke kiunoni kwa nguvu zote za mtu mzima.

Hujawahi kupitia maisha ya kipigo aisee.
Nimeishi na kulelewa kijeshi kweli kweli school sikuwa napata tabu, home unapigwa na mkandaa wenyewe ule, unafungwa kambaa unabamizwaaa, na hiyo huli chakula, ukifunguliwa kamba cha kwanza wana test umeelewa mapigo au vipi, unatumwa kuchota maji πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ stick za hukumu ya mahakama achana nazo zile sio fimbo za kawaida
 
Mzee alikuwa mjeshi hiyo bakora ya jeshi alikuwa nayo ni ya kawaida sana ukilinganisha na magongo ya shule.
Rumors tu lakini mimi naona maumivu ndio yaleyale.
 
Zajela hazifananishwi zile zinaitwa henzilani watu wanapelekwa cuba kusomea kuchapa unazan utan

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…