Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

Mtaani kwangu yupo jamaa alimfumania mke wake akamshambuliwa akamuua asee jamaa alipewa adhabu kama ya miaka 10 akachiwa huru jamaa akili zake hazipo sawa kabisa ana mental disorder.
Nyie damu nzito kuliko maji hata kama ni manslaughter ila kuna kitu kitamkuta muuaji.
 
Mbona kama jamaa alipaswa kuwachomea ndani au hakuwa na hela ya petrol? Mwamba hongera sana kwa ulichokifanya ila ukitoka jela kamati ya nidhamu ya taasisi ya kataa ndoa itakuwajibisha kwa kuwapa adhabu ndogo wezi wako isiyo endana hata kidogo na walichokufanyia
 
Huyo jirani,ambaye kafumaniwa na mkewe,namsihi atokomee kusikojulikana.Jamaa akitoka,atadili nae kwa kuamua mwenyewe au kushauriwa na wadau.
 
as along as Serikali haijawa serious kwenye haya matukio ya mauaji kwa kisingizio cha mapenzi haya matatizo yanaendelea kuwa makubwa sana kwenye jamii, mtu anauaje alafu anfungwa miaka minne? Africa hatuna tofauti na wanyama pori.
 
Mtu hakusumbua mahakama,alikiri kosa since day 1 ila kasota miaka 7 gerezani akisubiri hukumu!!

BTW:Kwa nini hakumuua mgoni wake?
 
Mtaani kwangu yupo jamaa alimfumania mke wake akamshambuliwa akamuua asee jamaa alipewa adhabu kama ya miaka 10 akachiwa huru jamaa akili zake hazipo sawa kabisa ana mental disorder.
Nyie damu nzito kuliko maji hata kama ni manslaughter ila kuna kitu kitamkuta muuaji.

hawa wapuuzi wanayachukulia poa hayo mambo, ukishauwa mtu huwezi kuwa normal tena.
 
Mahakama huwa inasumbuliwa vipi?
 
Back
Top Bottom