Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Njombe ina shida hivi sasa, matukio ya kujamiana hayaishiMahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa.