AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
Screenshot_20250516-044917_X.jpg

Screenshot_20250516-044930_X.jpg
 
"If AI has a goal and humanity happens to be on its way, it will destroy humanity as matter of course without even thinking about it".

"AI will be the worst or best thing ever".
- Elon Musk
Venturing into an AI world is tantamount to ^summoning demons from hell.^ ~Elon Musk
 
Hilo nalo ni la kushangaza?

Mbona humu JF kuna magenge hayalali kutwa yako kama yamelazimishwa kufifisha hatua madhubuti za TRAORE?
 
Back
Top Bottom