100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mkuu hali inatisha sana aisee.Niliona hiyo saga. Story writers, editors, graphics, visuals, audio engineers na watu wengi sana wataguswa na punguzo la ajira. Directors nao watakuwa wachache.
Na changamoto kubwa ni kuwa hao watakaobaki malipo yatapungua sana maana badala ya kufanya kazi masaa labda 640 mtu anafanya masaa 150 tu.
Waliokuwa wana kazi za kutumia akili waliwaona wanaofanya kazi za nguvu hawana chochote, ila huko tunakoelekea mbona kila mmoja atakuwa mkulima. Lazima wataheshimiana tu!Muda wa kufanya kazi kwa kutumia nguvu umewadia..!!
AI wanaharibu kila kitu sasa hivi.
Binadamu wanapoteza ajira kila uchwao.
Canβt wait kumpa ex wangu saidia fundi kwenye my new projectβ¦ πΉπΉπΉWaliokuwa wana kazi za kutumia akili waliwaona wanaofanya kazi za nguvu hawana hochote, ila huko tunakoelekea mbona kila mmoja atakuwa mkulima.
Mifumo mingi ya africa bado sio rafiki kwa intergration na tech za AI kwa ujumla wake. Huku tuendelee kula maisha, maana hata data za AI zimekuwa trainede kwa mazingira yao na sio yetu huku Africa. Ila ukiona Africa tumeanza kuwa na data center kwa ajiri ya ku train data zetu tuanze jipanga kutumia mapanga kuingiza vipatoDunia ishaanza kuchangamka
Ila si mmesema AI itachelewa kuja afrika eeh ?
Wahudumu wa bar na Liquore store hawana mbadala π πCanβt wait kumpa ex wangu saidia fundi kwenye my new projectβ¦ πΉπΉπΉ
From βI miss youβ Ongeza cement hapo zege lishike! π€£πΉ
Hizo kazi hazitumii akili, nguvu nyingi hapo zinatumika..!! πΉπΉWahudumu wa bar na Liquore store hawana mbadala π π
AI hazina makebo
AI inakuja kuondoa matumizi ya akili na kubakiza matumizi ya nguvu π πHizo kazi hazitumii akili, nguvu nyingi hapo zinatumika..!! πΉπΉ
Siku hizi muziki mzuri wa AI wasanii nao hawatutishi..!! πΉπΉπΉAI inakuja kuondoa matumizi ya akili na kubakiza matumizi ya nguvu π π
π π AI robot juzi limechezea kichapo cha masela wanasema limechukua ajira zaoSiku hizi muziki mzuri wa AI wasanii nao hawatutishi..!! πΉπΉπΉ
AI ni hatari kaka.Ai yao hairipui ripui ikatoa hivyo hivyo
Nina brother yuko South Africa alisoma hayo mambo alitengeneza mini series ya AI akiwa ghetto kwake. Hajatoka hata nje ila tu yeye na powerful laptop na kaka yake ambaye ni hobbyist DJ wakashirikiana.Mkuu hali inatisha sana aisee.
Halafu jana tu nilitoka kutazama filamu imetengenezwa kwa full AI mwanzo mwisho, aisee mpaka niliogopa, ni zaidi ya kuwa realistic, halafu ni wahuni tu wanatengeneza hizo filamu kwa gharama ndogo hata dola 2000 hazifiki.
Sijui tunapoelekea na kila mmoja atafikiwa.
Mkuu sijui tunapoelekea..Nina brother yuko South Africa alisoma hayo mambo alitengeneza mini series ya AI akiwa ghetto kwake. Hajatoka hata nje ila tu yeye na powerful laptop na kaka yake ambaye ni hobbyist DJ wakashirikiana.
Mfano anime na cartoon ndio kabisa studio zitatumia AI zaidi.
Uko streaming services kama Spotify mtu anachukua mamilioni kwa kupakia nyimbo za AI.