Akina mwamposa hapa wao ni full amani. Hawawezi guswa na AI hao.
Mtu anaye mwamini mwamposa atamwamini mchungaji wa AI??Wataguswa.
Utashangaa wachungaji wa AI wakizuka na wakifanya mahubiri na miujiza
Mtu anaye mwamini mwamposa atamwamini mchungaji wa AI??
AI sasa hivi inabadilisha vita kuanzia kwenye tactical level mpaka strategic level...Unaona kazi inayofanywa na Midjourney ilivyo ya hatari. Alafu AI inafundishika kwa kasi sana.
Claude imetumika na US kuandaa mashambulizi ya Venezuela na Iran. Kwahiyo hata kwenye majeshi nako pataguswa. Ukizingatia suicide drones zimepunguza uhitaji wa artillery crew, drone operator mmoja anafanya kazi ya reconnaissance unit nzima tena kwa gharama nafuu na kuondoa hatari.
Jet drones zitaendeshwa kwa AI na kuweza kufanya dogfights na hivyo marubani hawatotumika sana. 6th generation fighter itakuwa na uwezo wa kuendeshwa na rubani au AI, au rubani anaendesha fighter moja ila inaongoza drones kadhaa (loyal wingmen) kwenye manned-unmanned teaming.
Kila mtu atafikiwa.
Nauliza AI swali la bible inachambua vitabu vyote ndani ya sekunde 10,Akina mwamposa hapa wao ni full amani. Hawawezi guswa na AI hao.
Inaitwaje?Mkuu hali inatisha sana aisee.
Halafu jana tu nilitoka kutazama filamu imetengenezwa kwa full AI mwanzo mwisho, aisee mpaka niliogopa, ni zaidi ya kuwa realistic, halafu ni wahuni tu wanatengeneza hizo filamu kwa gharama ndogo hata dola 2000 hazifiki.
Sijui tunapoelekea na kila mmoja atafikiwa.
Kwa Afrika bado sana kuanza ku feel effects za AISasa hivi usalama wa ajira ni kuwa mdukuzi na muharibifu wa mifumo tuu 😅
China tiyari wanazo, nimeona training yao ya suicide drones ambazo ni autonomous. A swarm of drones zinakuwa launched kutoka kwenye truck zinajiongoza zenyewe zinakata kona zinapiga chenga na kuwasiliana zenyewe angani bila ground intervention alafu zinaenda kupiga target na kuhakikisha kweli imepigwa na kutuma taarifa nyuma.AI sasa hivi inabadilisha vita kuanzia kwenye tactical level mpaka strategic level...
Nimefuatilia mitandaoni naona hivi sasa kuna drones zinakuja ambapo drones za kivita hazitoendeshwa na hazitotegemea server ili kuziongoza, zinafanya maamuzi zenyewe na huo mradi US wanaufanyia kazi ,Manned Unmanned Teaming ,MUM-T.
Hizo drones zikitumwa mamia kwa mamia kwenda kushambulia zinakuwa zinawasiliana zenyewe kwa zenyewe, ikishambuliwa moja zingine zinapata taarifa na kubadili mbinu ya mashambulizi papo kwa hapo.
Mfano hivi sasa kwenye picha za kijasusi zinazopigwa na satellite, AI inaweza kukagua ni wapi kuna silaha , askari au air defenses, picha milioni moja zikipigwa Ai inachambua kwa sekunde kadhaa na inaonyesha papo hapo wapi kuna vifaru, wapi kuna askari , inachuja mamilioni ya picha za satelaiti kwa sekunde kadhaa kitu ambacho wachambuzi 100 wa kijasusi wanaweza kutumia wiki nzima kufanya hio kazi.
Ukiongezea na hizo drones ambazo ni self driving, ni hatari sana mkuu, drone ikitumwa kupiga mahali inakwenda kama mtu, inatambua mazingira na target iliyotumwa.
Na hizo kampuni kama Claude zimetumika ingawa wana sheria kali kwa kutumika kwa platform zao katika masuala ya kijeshi , serikali nyingi hivi sasa wanatengeneza AI za ndani. Hivi sasa US inatumia AI kuchakata mamilioni ya data za kijasusi.
😹😹😹 Ex lazima awe Exit, Example, Expired, yani inshort Ex mbaya zote lazima zimuhusu..!!Unaroho mbaya sana mkuu 🤣🤣