100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
- Thread starter
- #21
Mkuu kuna projects zinakuja kwa wafanya kazi kwenye makampuni ya ujenzi na migodi kuanza kutumia AI robots, yale madude hayana bima ya afya, haki za mfanya kazi , hata launch beak hakuna , hata likizo hakuna , hayaumwi na yanafanya kazi masaa 24 siku 7 za wiki bila kupumzika, hii itapunguza gharama ya uendeshaji wa kampuni kwa kiwango kikubwa sana na kufanya kazi ziende kwa haraka kitu ambacho kampuni nyingi zitafanya hivyo kwa sababau mwisho wa siku wanachoangalia ni faida.Binadamu tujiandae na athari hasi za sayansi na teknolojia
Hizo AI robots zitakwenda kupoteza ajira za vijana wengi sana huko mbeleni
Sijui kama sekta ya Uhandisi na Utabibu (Afya) kama nazo hazijapoteza ajira za Wahandisi (Engineers) na Madaktari (Medical Doctors)
Binadamu anaanza kunekana liability/mzigo..
Tujiulize, nani atabaki salama?