Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Kwakweli hata mm nashangaa Sana sisi enzi zetu Miaka 14 unaachiwa nyumba kabsa na unajitambua, Sasa uyo anainamishwa na anakaaa kmya
 
Hiv wale ni mashoga au ni masharobaro tu na mabishoo?....
Msikuze mambo kiasi hicho bwana...nimeishi studio sioni tofauti ya studio na sehemu nyingine hapa Dar...labda studio kuna mabishoo kibao ambao kwa haraka huwezi tambua kama ni choko au la...unless una interest hizo
 
Chezea utalii mzungu sio mtu mwema,kila pahala penye watalii wengi ushoga unakua kwa kasi mfano Zanzibar


Mashoga yale Kaka, jaribu kunywa kahawa usikie wanavyoongea. Ninakuwaga na harakati zangu maeneo hayo, yale mashoga Kaka.
 
Kwakweli hata mm nashangaa Sana sisi enzi zetu Miaka 14 unaachiwa nyumba kabsa na unajitambua, Sasa uyo anainamishwa na anakaaa kmya
Na unakuta wakati huo ni kipindi cha kilimo,mfano mwez wa 12 mpo likizo

Unawaongoza wadogo zako kwenda shamba,maswala yote ya kula unayasimamia kukiwa hakuna mboga mnachuma mchicha nyuma ya nyumba na bado kunakuwa kuna mifugo unakuwa umeachiwa

Mpaka wazaz wanarudi wanakuta mambo yako vizur tu
 
Mashoga yale Kaka, jaribu kunywa kahawa usikie wanavyoongea. Ninakuwaga na harakati zangu maeneo hayo, yale mashoga Kaka.
I will need to prove this....mimi nachojua kinondoni studio mida ya jioni kuna pisi na malaya wa kila aina....
 
Kwakweli hata mm nashangaa Sana sisi enzi zetu Miaka 14 unaachiwa nyumba kabsa na unajitambua, Sasa uyo anainamishwa na anakaaa kmya
Malezi ya sasa yamedumaza sana akili za watoto

Mie nina mjukuu wangu wa miaka 14 amemaliza Primary hawezi kuja kunisalimia kutoka Madale kuja Kawe, ama amsubirie Mama yake weeknd amlete au Dada wa kazi amlete,

huwa nawasema sana Wazazi wake na nawakumbusha age kama hizo wao nilikuwa nawapa majukumu hata ya kwenda ofisin kwangu kuchukua sicksheet nikiumwa na wanairudisha ofisin baada ya matibabu wakiwa darasa la tano, sita na saba, tukisafiri tunaaachia nyumba hata mwezi mzima na hapakuwa na simu kama leo.


Mitoto ya sasa ukiikuta serious kwny ma Game na makatuni kwny TV utasema kizazi hiki kipo smart kichwani kumbe ni misanamu mitupu kichwani kwny maisha ya kawaida
 
Yalaumiwe ma school bus na vikatuni🤣🤣,mana enzi zetu kutembea kwa mguu kulitufanya wakakamavu na pili hakuna kukaa kaa ovyo sebleni kuangalia vikatuni siku hizi sasa,
 
Saivi sijui aisee malezi ya Sasa yakoje mm dogo langu Yupo form 5 saivi hata kupanda daladala mwenyew Ni shida wakat mm nipo darasa LA 4-5 daladala kama kawaida
 
kWanza mimi siwez kumuita hata mtoto,kijana wa miaka 14 mbona ni mtu mzima kabisa na anaweza kulisha familia

Huyo dogo nae alitaka,kama ni mwanangu ningemfukuza nyumban kabisa

Eti anatishiwa kama watoto wa chekechea eti "nitakuua" nae akanyamaza
Umeona eeh,kuna kitu huyo dogo pia hakipo sawa kwake,kwanza walianza akiwa pale nyumbani huo mchezo na alitishiwa asieme atauwawa naye akaogopa kweli,pili siku walipoondoka mpk wanafika kuuza Mbuzi ina maana kulikuwa hakuna watu ambao angewaeleza kuwa huyu jamaa ameniteka ili wamsaidie...!
 
Saivi sijui aisee malezi ya Sasa yakoje mm dogo langu Yupo form 5 saivi hata kupanda daladala mwenyew Ni shida wakat mm nipo darasa LA 4-5 daladala kama kawaida
Sahvi yenyewe watoto wadogo ndiyo hawa

Ova
Your browser is not able to display this video.
 
Huyo mhuni asakwe, akikamatwa ashtakiwe na afungwe maisha jela

Sio tu afungwe uko jela nae akaliwe kama alivyofanya kwa kijana mdogo huyu!!! Hili jamaa sijui vipi, hivi hii mizuka yakumuingia mwanaume, wanaume huwa tunaitoa wapi? Huyu akikamatwa nae huku jela akaolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…