Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Kwa kawaida mtu hawezi kuuza mbuzi 35 mnadani kwa mkupuo mmoja Tena bila risiti za malipo ya ushuru.
Mkuu,

Kwenye baadhi ya minada kuna wale blockers (middle men). Hawa watu wanakaa kwenye njia maalum za kwenda minadani wananunua mifugu direct kutoka kwa wafugaji af wao ndio wanapeleka mnadani kuuza kwa bei ya juu zaidi. Mauziano hayo huwa ni too local na wananunua kwa bei ya chini kidogo.
So kwa baadhi ya maeneo inawezekana kabisa.
 
Sosad hii story nimeisikia kwenye Radio ila ata hivyo Kuna ulakini mkubwa sana uchunguzi mkubwa unaitajika hapa hii kesi anapewa masai Bure tu itakua mchaga anajambo lake apa
 
Matajiri wengi wanaloga San ili usijitambue huwenda Ni kweli
 
Katika hili nakubaliana na Museven kupitisha sheria ya kifo kwa hawa waduanzi,mabasha 😡
 
Sahivi ni mwendo wa kusingizia case za ulawitii tyuuh.
 
Ila kuna baadhi ya vitu navyo ni ujinga, ndio maana tunafundisha watoto wetu wawe na roho ya paka haiwezekani umri wa miaka 14 hujui jema wala baya, unafokolewa na unakaa kimya kama jinga
 
Ila kuna baadhi ya vitu navyo ni ujinga, ndio maana tunafundisha watoto wetu wawe na roho ya paka haiwezekani umri wa miaka 14 hujui jema wala baya, unafokolewa na unakaa kimya kama jinga
Miaka 14 anatoroshwa tena na mchunga mbuzi si balaa hilo
 
Hii ni Hadithi ya kutungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…