Aibu: Air Tanzania yalalamikiwa kuchelewesha abiria na kisha kuwakodia hoteli ya hadhi ya chini

Hivi aliyetuloga ni nani? Inasikitisha sana...sijui hata tunaweza kitu gani yarabi
 
 
 
Alitegemea CENTRAL PARK VIEW kama New York ili apost status.
Huu utaratibu wa kulipia abiria hotel unatumika kama njia moja ya upigaji pale ATCL.
Nakubaliana na wewe nakumbuka 2010 wakati shirika lipo hoi nilipata flight delay kutoka KIA Kuja dar na walitulaza pale kia lodge ni mahara pazuri ila ukiangalia gharama za kulala pale kwa siku na nauli ni sawa naungananna wewe kuwa ni sehemu ya upigaji ya Hawa wahuni wa ATCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…