Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu mtoto wa kiume au wa kike?Sio siri kuna time nikikutana na wageni kutoka nchi mbali mbali hasa kule kwenye vikao vyetu naonaga aibu sana kujitambulisha kwamba na mimi ni mTanzania.
Nilikua nimeshapiga simu ki hotel flani nikalipa nikiwa airport Dar, nafika pale hotelini niliweka bag nikatoka hio asubuhi kuelekea kutafuta chakula halafu niunge kuelekea Mara, nilirudi hata sikulala nikachukua bag nikaondoka nililala kwenye gari. Mkuu nilifika nimechoka sana..Pole unaonekana ulifika ukiwa umechoka sana
Nani kakuambia nachekesha hapa.. au wewe ni mhudumu wa kike kwenye Air Tanzania
Ukipeleka gari Zambia utashangaa sehemu inayoenda haifanani na gari na mtu anatulia nayo sisi bara bara nzuri za kumwaga tumejaza maboxi tu bara bara zote hiyo ni Roho mbaya ya wapanga Kodi kwa sababu magari yananulika kodi inazidi gharama ya gari mara mbili..Hapa kweli nilienda Zambia last year Fortuner za kutosha tena sio Lusaka ni sehemu wanaita Serenje.
Pole sana mkuu hio ndio Air Tanzania yetu watanzaniaNilikua nimeshapiga simu ki hotel flani nikalipa nikiwa airport Dar, nafika pale hotelini niliweka bag nikatoka hio asubuhi kuelekea kutafuta chakula halafu niunge kuelekea Mara, nilirudi hata sikulala nikachukua bag nikaondoka nililala kwenye gari. Mkuu nilifika nimechoka sana..
Hatuwezi kuendesha chochote kwa sababu wakurugenzi wa haya mashirika ni wateule wa rais na wanapokea mshahara toka hazina. Hawa hawawezi kuwajibika maana hakuna wa kumfanya kitu hadi rais aamue.Watanzania hatuwezi kuendesha chochote kwa ujinga wetu.
Niliwahi kuandika hivi:
ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...www.jamiiforums.com
Na hivi:
Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...www.jamiiforums.com
Watanzania hatuwezi kuendesha chochote kwa ujinga wetu.
mtu wa hovyo hufikiri hovyo,wahuni mlishafanikisha kitu gani nchi hii?Mnachukua shirika mnampa mtu aliyetoka kwenye jamiì ya kishamba, mnategemea nini?
Kiukweli kodi za magari ni dhahili hawa Walamba asali wamedhamiria kabisa hatumiliki hata mikweche wao tu ndio watutambie barabarani.Kwa kodi za magari tunazowekeana Watanzania wote ni washamba nenda Zambia kodi ya gari 2023 inalipwa Tsh 6m tena fortuner GD 6 tupo busy na vipasso na magari machakavu kwa nini tusiwe washamba...
Viongozi wanatoma humo humo kwenye kundi la wajinga kwa hiyo watakuwa na sifa zinazoendanaKwenye hili nakuunga mkono FF...
Zaidi ya yote ukiona wanaoongozwa ni wajinga, ujue wanaoongoza ni wajinga zaidi...
AlbinoAibu mtoto wa kiume au wa kike?
Kwa hiyo unajivunia kuwa under wretched country?kwa nini unaona aibu? au unafikiri wao wageni hawajui kama tanzagiza ni poor underdeveloped country? mnajidanganya sana, kwanza ingewashangaza wageni kama wangekuta maisha mazuri tanzagiza, hivyo wanachokiona ndicho walichokitegemea hivyo usijipe stress za sijui kuona aibu believe me they know kwamba tanzagiza is a wretched country …
Kwa hiyo unajivunia kuwa under wretched country?
Na ukitaka ucheke hizo ist ni za 2004 sijui 2005 ya 2009 utaambiwa new model wakati pana gari kaburu ya 2020 anauza milioni 16 ila kutokana na kodi kubwa inabidi watu waiangalie tu na kuchukua ile yenye kodi nafuu..Bajaji tu inafika Tanzania kwa 10m Nchi hiyo kweli..Kiukweli kodi za magari ni dhahili hawa Walamba asali wamedhamiria kabisa hatumiliki hata mikweche wao tu ndio watutambie barabarani.
Zile kodi hazina maana hata kidogo.
IST ununue second Hand tena kwa wenyewe waliotengeneza wakakusafirishia lakini Maskini ambaye hata mabati hawezi kutengeneza anataka kukamua humo humo na hajagharamia chochote.