Aibu: Air Tanzania yalalamikiwa kuchelewesha abiria na kisha kuwakodia hoteli ya hadhi ya chini

Aibu: Air Tanzania yalalamikiwa kuchelewesha abiria na kisha kuwakodia hoteli ya hadhi ya chini

Mwaka ajana naenda Uwanja wa andege moja wapo wa Kimataifa hapa Tanzania, naondoka na Halotel yangu.

Nafika Uwanjani no Cellphone internet lakini pia Wife ya uwanjani ni mbovu kupita maelezo.

Hata kupost ujumbe whatsapp haiwezi.
Tunaelekea Dubai-hapo Airpot internet yake ni ya maajabu, speed ambayo sijawahi kushuhudia.

Nikajiuliza hivi sisi wafrika kwanini tuko nyuma kila kitu. Wale Mainjinia wa Viwanja vya ndege, wafanyakazi, mafundi wa ICT n.k hakuna anayeona hili au hawatembei kujifunza kwa wengine?

Nakaa Dubai siku Tatu baadae naelekea Uturki Instabul very wonderful services.

Nikarudi Tena Nyumbani nikadhani labda siku ile mtandao ulikuwa mbovu......nakutana wasafiri wanalalamikia Internet mbovu mtu hata ndugu yake anashindwa kuwasiliana.

Viwanja vyetu vinapokea maelfu ya wageni kutoka duniani kote. Kukosa internet ya uhakika kwa watu kuwasiliana ni aibu kubwa sana.
Nape Nnauye amechukua hii taarifa yako au hujawahi kumfikishia? Ndio maana nasema ufanyike mdahalo wa Wananchi na Hawa viongozi wa juu wadungwe maswali haswa sio yale maswali ya bungeni wanayoingia na madesa mtu anaenda kujibu maswali kashadesa Mwezi mzima nini anaenda kujibu hayo hatutaki tunataka yale ya papo kwa hapo na suala linalofahamika na yeye analijua alitolee ufafanuzi ikiwezekana Msimamizi mkuu wa eneo husika aitwe mbele atoe maelezo km kibarua kinaota mbawa kiote mbawa tu
 
Na Sasa hivi nyie ndio mmeshika Hatamu, ujinga wenu uko dhahiri
Tatizo lengine kubwa ni hili kuna chuki kubwa ya kidini,mwenzio anaongelea watanzania wewe umevamia udini,kwani mashilika ya tz yaliokufa yote yaliuliwa na kina nani?? Acha hizo,
 
Hapa kweli nilienda Zambia last year Fortuner za kutosha tena sio Lusaka ni sehemu wanaita Serenje.
Kwa hio unashauri nini? Mimi nasema kuwe na mdahalo wa Hawa viongozi na Wananchi ili waweze kupewa NONDO maana inaweza ikawa viongozi hawaoni nini kinaendelea duniani na Nchi jirani kwa hio ni mara 100 Fortuner lako ulivushe Zambia kuliko kulivusha huku bandarini?
 
Air Tanzania was3ng3 sana, kuna siku nilipaswa niingie Mwanza saa 6 usiku kutokea Dar, matokeo yake nilifika saa 11 alfajiri, mwaka huu huu, hapo nauli nimetoa 700K. Nimekaa kwenye ndege nikachoka ikabidi nitoke nje, nilikuwa natoka narudi nakuta bado nawauliza jamani hatuondoki? narudi tena nje naendelea kupiga mitungi narudi tena ndani... wanasema wanapaka rangi ndege... Jamaa wapuuzi sana..
Duh

Ova
 
Sio siri kuna time nikikutana na wageni kutoka nchi mbali mbali hasa kule kwenye vikao vyetu naonaga aibu sana kujitambulisha kwamba na mimi ni mTanzania.

kwa nini unaona aibu? au unafikiri wao wageni hawajui kama tanzagiza ni poor underdeveloped country? mnajidanganya sana, kwanza ingewashangaza wageni kama wangekuta maisha mazuri tanzagiza, hivyo wanachokiona ndicho walichokitegemea hivyo usijipe stress za sijui kuona aibu believe me they know kwamba tanzagiza is a wretched country …
 
Tatizo ni kujifanya tunajua kuendesha Kila kitu fast jet ilikuwa na gharama nafuu ila tamaa ya serikali kujifanya wanajua Kila kitu shirika la ndege linaenda kufa kama ilivo poster,TTCL nk tunabaki na majina tu hasara Kila siku
 
Back
Top Bottom