Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanzania wee mwambie kukataHuku vivuko havifanyi kazi huku nauli za ndege ni ghali kwenda mpanda nauli yake ni sawa na kwenda dubai🤣🤣🤣mara abiria wawacheleweshe na kuwapeleke hotel za efu tatu tatu.Mara waziri kawaba kibali wahuni wenye mtaji wa milion 50 waaginze sukari ya billion 6.Hebu nile mm viazi na maziwa hapa nikiwaza sana ntakufa bure.
Wanapaka rangi Ndege ndio nini?Air Tanzania was3ng3 sana, kuna siku nilipaswa niingie Mwanza saa 6 usiku kutokea Dar, matokeo yake nilifika saa 11 alfajiri, mwaka huu huu, hapo nauli nimetoa 700K. Nimekaa kwenye ndege nikachoka ikabidi nitoke nje, nilikuwa natoka narudi nakuta bado nawauliza jamani hatuondoki? narudi tena nje naendelea kupiga mitungi narudi tena ndani... wanasema wanapaka rangi ndege... Jamaa wapuuzi sana..
Kuna muda fulani ukifika ni lazima uwapatie abiria chakula na malazi hio ni sheria za IATA, ila kwenye process hii ni wajanja wanapiga. Kwahio kucheleweshwa abiria wa ATCL ni mrAdi wa wapigaji.Eti bwana kama imechelewa kwa bahati Mbaya kuna ulazima wa kulipia Vyumba watu? Mbona tunalala airport hata nchi zingine?
Air Tanzania was3ng3 sana, kuna siku nilipaswa niingie Mwanza saa 6 usiku kutokea Dar, matokeo yake nilifika saa 11 alfajiri, mwaka huu huu, hapo nauli nimetoa 700K. Nimekaa kwenye ndege nikachoka ikabidi nitoke nje, nilikuwa natoka narudi nakuta bado nawauliza jamani hatuondoki? narudi tena nje naendelea kupiga mitungi narudi tena ndani... wanasema wanapaka rangi ndege... Jamaa wapuuzi sana..
Lugha baba 😃 tumia dictionary.Ghetto hotel? Jina lake ndio hilo au Mimi sijaelewa?
Ghetto yaan mafichoni huko Tandale kwa Mkonduge auLugha baba 😃 tumia dictionary.
Iko hivi amemaanisha hoteli inamfanano na muonekano wa ghetto.
Wanapaka rangi Ndege?Haina mantiki wala haichekeshi stori yako
Hali hii mpaka lini?
Mwaka ajana naenda Uwanja wa andege moja wapo wa Kimataifa hapa Tanzania, naondoka na Halotel yangu.
Nafika Uwanjani no Cellphone internet lakini pia Wife ya uwanjani ni mbovu kupita maelezo.
Hata kupost ujumbe whatsapp haiwezi.
Tunaelekea Dubai-hapo Airpot internet yake ni ya maajabu, speed ambayo sijawahi kushuhudia.
Nikajiuliza hivi sisi wafrika kwanini tuko nyuma kila kitu. Wale Mainjinia wa Viwanja vya ndege, wafanyakazi, mafundi wa ICT n.k hakuna anayeona hili au hawatembei kujifunza kwa wengine?
Nakaa Dubai siku Tatu baadae naelekea Uturki Instabul very wonderful services.
Nikarudi Tena Nyumbani nikadhani labda siku ile mtandao ulikuwa mbovu......nakutana wasafiri wanalalamikia Internet mbovu mtu hata ndugu yake anashindwa kuwasiliana.
Viwanja vyetu vinapokea maelfu ya wageni kutoka duniani kote. Kukosa internet ya uhakika kwa watu kuwasiliana ni aibu kubwa sana.