Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Walifuata majengo ya Posta wameenda kulazwa guest bubuWalifata usafiri au usingizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifuata majengo ya Posta wameenda kulazwa guest bubuWalifata usafiri au usingizi
Nape Nnauye amechukua hii taarifa yako au hujawahi kumfikishia? Ndio maana nasema ufanyike mdahalo wa Wananchi na Hawa viongozi wa juu wadungwe maswali haswa sio yale maswali ya bungeni wanayoingia na madesa mtu anaenda kujibu maswali kashadesa Mwezi mzima nini anaenda kujibu hayo hatutaki tunataka yale ya papo kwa hapo na suala linalofahamika na yeye analijua alitolee ufafanuzi ikiwezekana Msimamizi mkuu wa eneo husika aitwe mbele atoe maelezo km kibarua kinaota mbawa kiote mbawa tuMwaka ajana naenda Uwanja wa andege moja wapo wa Kimataifa hapa Tanzania, naondoka na Halotel yangu.
Nafika Uwanjani no Cellphone internet lakini pia Wife ya uwanjani ni mbovu kupita maelezo.
Hata kupost ujumbe whatsapp haiwezi.
Tunaelekea Dubai-hapo Airpot internet yake ni ya maajabu, speed ambayo sijawahi kushuhudia.
Nikajiuliza hivi sisi wafrika kwanini tuko nyuma kila kitu. Wale Mainjinia wa Viwanja vya ndege, wafanyakazi, mafundi wa ICT n.k hakuna anayeona hili au hawatembei kujifunza kwa wengine?
Nakaa Dubai siku Tatu baadae naelekea Uturki Instabul very wonderful services.
Nikarudi Tena Nyumbani nikadhani labda siku ile mtandao ulikuwa mbovu......nakutana wasafiri wanalalamikia Internet mbovu mtu hata ndugu yake anashindwa kuwasiliana.
Viwanja vyetu vinapokea maelfu ya wageni kutoka duniani kote. Kukosa internet ya uhakika kwa watu kuwasiliana ni aibu kubwa sana.
Tatizo lengine kubwa ni hili kuna chuki kubwa ya kidini,mwenzio anaongelea watanzania wewe umevamia udini,kwani mashilika ya tz yaliokufa yote yaliuliwa na kina nani?? Acha hizo,Na Sasa hivi nyie ndio mmeshika Hatamu, ujinga wenu uko dhahiri
Wamelazwa Store ya guest bubu wame-maind balaaEti bwana kama imechelewa kwa bahati Mbaya kuna ulazima wa kulipia Vyumba watu? Mbona tunalala airport hata nchi zingine?
Kauli ya kipumbavu kabisa hiiMnachukua shirika mnampa mtu aliyetoka kwenye jamiì ya kishamba, mnategemea nini?
Hapa kweli nilienda Zambia last year Fortuner za kutosha tena sio Lusaka ni sehemu wanaita Serenje.Kwa kodi za magari tunazowekeana Watanzania wote ni washamba nenda Zambia kodi ya gari 2023 inalipwa Tsh 6m tena fortuner GD 6 tupo busy na vipasso na magari machakavu kwa nini tusiwe washamba...
Kwa hio unashauri nini? Mimi nasema kuwe na mdahalo wa Hawa viongozi na Wananchi ili waweze kupewa NONDO maana inaweza ikawa viongozi hawaoni nini kinaendelea duniani na Nchi jirani kwa hio ni mara 100 Fortuner lako ulivushe Zambia kuliko kulivusha huku bandarini?Hapa kweli nilienda Zambia last year Fortuner za kutosha tena sio Lusaka ni sehemu wanaita Serenje.
Hotel ya kisela kwa kiswahili cha mtaani hotel jina ....humo huduma sio boraGhetto hotel? Jina lake ndio hilo au Mimi sijaelewa?
Sijui kuna sehemu imefutika mi hata sielewi, tumeondoka Dar saa 9 na madakika usiku.. wakati ilibidi tutoke saa 5 usiku.Wanapaka rangi Ndege ndio nini?
Nani kakuambia nachekesha hapa.. au wewe ni mhudumu wa kike kwenye Air TanzaniaHaina mantiki wala haichekeshi stori yako
DuhAir Tanzania was3ng3 sana, kuna siku nilipaswa niingie Mwanza saa 6 usiku kutokea Dar, matokeo yake nilifika saa 11 alfajiri, mwaka huu huu, hapo nauli nimetoa 700K. Nimekaa kwenye ndege nikachoka ikabidi nitoke nje, nilikuwa natoka narudi nakuta bado nawauliza jamani hatuondoki? narudi tena nje naendelea kupiga mitungi narudi tena ndani... wanasema wanapaka rangi ndege... Jamaa wapuuzi sana..
Sio siri kuna time nikikutana na wageni kutoka nchi mbali mbali hasa kule kwenye vikao vyetu naonaga aibu sana kujitambulisha kwamba na mimi ni mTanzania.
Pole unaonekana ulifika ukiwa umechoka sanaSijui kuna sehemu imefutika mi hata sielewi, tumeondoka Dar saa 9 na madakika usiku.. wakati ilibidi tutoke saa 5 usiku.
Labda ana Dada yake anaona unataka kuharibiana kibarua wao waukose Ugali nyumbani kwa shemijiNani kakuambia nachekesha hapa.. au wewe ni mhudumu wa kike kwenye Air Tanzania
MGENI kalinganisha na hotel za kwao na room ya nyumbani kwao anaona kaingizwa store za guest bubuSASA hapo hotelini ndo Hadi ya chini? Acheni mzaha bhana, tuna mengi ya kujadili