Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa maroli bandarini hapo.
Ikumbukwe wheel loader lile lilianza kuharibika tokea mwezi jana hali iliyopelekea upakiaji wa shehena hiyo kusuasua huku mteja akihangaika kukodisha wheel loader za wakandarasi wa mabarabara hapo Tanga kwa gharama kubwa pale inapobidi.
Ajabu ni kwa nini TPA Tanga ina wheel loader moja tena dogo linalotakiwa kufanya kazi ilihali mahitaji ya kitendea kazi hicho ni ya haja?!
Kwamba TPA Tanzania haioni hali hiyo inapelekea wadau kutokuwa na imani na utendaji kazi wa bandari zetu?!
Inasemekana mteja wa shehena ya clinker PRIME CEMENT KIWANDA CHAKE HUKO RWANDA KIMEZIMWA KWA KUKOSA SHEHENA YA material hayo kwa sababu ya kukosekana wheel loader ya kupakia mzigo wake.
Hakika Watanzania aliyeturoga....