Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

Things worked wakati wa Magu (RIP), kila mtu alifanya kazi, hata ajali zilipungua, huduma kwa wananchi zilikuwepo, Serikali ilikuwa inajaribu kutatua matatizo ya wananchi siyo kama hawa, uliona wapi raisi wa nchi huru anakwenda ziara kwenye nchi nyingine for two weeks ?

Hata by African standards hakuna kitu kama hicho, the truth is she doesn’t care about the people, huyo ni nwo, ni globalist!

Hata JPM alienda ziara Chato kijijini kwake akakaa miezi, kwa hiyo hakuna jipya. Acheni Hangaya apige kazi, ni wakati wake.
 
Kama ni kweli, matatizo mengine siyo ya lazima. Bandari ni uti wa mgongo katika uchumi wa Tanzania. Kaimu Rais ingilia kati pls
 
Back
Top Bottom