Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

Huyo mteja mwenyewe mhuni tu; mwaka mzima amelundika clinker yake hapo bandarini anashindwa kuondosha kila siku kulialia tu
 
Tanzania huwa tunajichanganya wenyewe...tunaenda Ulaya kutafuta wateja, wakati waliopo karibu tunawazingua. Labda faida yake ni Per Diem
 
Wheel loader kweli ni jambo la waziri mbona ni kitu kidogo sana kama wameshindwa si wawape watu tender hapo tanga yenyewe nina uakika wheel loader 40 hazikosekani
 
Mama yupo US anazurura na filamu yake na akina Mwigulu wakati huku mapato yanapotea
 
Naona we na Rwanda tu?

Umoja Party imefikia wapi?
 
Wamasai wanahamia tanga kwahiyo watawasaidia kupakua kwa kutumia ngombe
 
24 April 2022

Rwanda wanatazama fursa ya uwezekano wa kutumia bandari ya Djibouti. Kwa namna hiyo Rwanda inatafuta kuwa na uwezo wa kutumia bandari mbadala nyingi zaidi ukanda huu wa Afrika Mashariki

Port of Djibouti: What Rwandan businesses think of it



Rwandan Businessmen and women have noted that using the Port of Djibouti provides more alternatives of importing and exporting goods and the port authorities also emphasize that using it, reduces the time goods spend in transit compared to when other ports are used, from 3 months to just 20 days. Betty Mutoni reports

Source : RwandaTV
 
Biashara ni mahusiano! Hata ikijengwa bagamoyo port ukiritimba tulionao watu watatukimbia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…