AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

Haya tulia mwenye akili piritoni. Deputy President wa Kenya, Rigathi Gachagua, ametaifishwa Kshs million 200,000. Kama matokeo ya Rushwa. Mwezi mmoja baadae aliteuliwa kuwa DP. Same Rais Samwel Ruto Kesi ICC. Leo ni Rais. Yaani una akili ndogo ila una jidai mjuaji.
 
Acha kuumizwa na habari za utopolo wewe.. Yaani unahangaika na viji habari fake kama vile mwanamke aliyechukuliwa bwana.. Unafaidika na nini na hizi mada zako za kiwaki humu jf
tuliza kinyeo boss, usipopenda a user generated content hapa jf unapita kushoto na ku ignore..
 
aisee , Riggy G pia alishawahi kupitisha raia wa kenya mpakani bila passport kwanjia za panya? Riggy G alishawahi kukamatwa na KITENGO CHA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA?
 
Nakukumbusha nyie mlikuwa na kiongozi aliyetaka kuipindua serikali ya Nyerere (Hansi) na akaswekwa ndani au umejitoa ufahamu kujifanya umesahahu. Sasa huyo mtuhumiwa ambaye tuhuma zake haziku thibitishwa na ndio maana yupo huru.
 
 

Attachments

  • Fc6sPiNX0AEXdOw.jpeg
    366.2 KB · Views: 1
Nakukumbusha nyie mlikuwa na kiongozi aliyetaka kuipindua serikali ya Nyerere (Hansi) na akaswekwa ndani au umejitoa ufahamu kujifanya umesahahu. Sasa huyo mtuhumiwa ambaye tuhuma zake haziku thibitishwa na ndio maana yupo huru.
Naaam atleast kidoogo kuna topolo moja limeelewa english iliyoandikwa kwenye hizo attachment, sasa huyu CEO wenu ilikuwaje issue yake ya madawa ya kulevya ndugu yangu?
 
Si yupo huru maana hana makosa.Hansi aliswekwa ndani na Nyerere kwa tuhuma zilizo thibitishwa na bado akawa kiongozi wenu kwa mda mrefu.
njaakalihatari amesahau Mzee Aden Rage alifungwa kwa tuhuma za ubadhirifu pale TFF enzi hizo inaitwa FAT.
Lakini alifanikiwa kujisafisha kwa rufaa akaja kuwa kiongozi wa Simba Sc na kuwaita mbumbumbu.
 
Unagongwa wewe
 
Uyo jamaa kwa kupanga matokeo hajambo,TFF wanakazi sana, uyo jamaa huko zambia hawatak hata kumsikia
 
Ila hiyo combination wakenya wanalo. Ruto, Riggy.
 
njaakalihatari amesahau Mzee Aden Rage alifungwa kwa tuhuma za ubadhirifu pale TFF enzi hizo inaitwa FAT.
Lakini alifanikiwa kujisafisha kwa rufaa akaja kuwa kiongozi wa Simba Sc na kuwaita mbumbu.
Naomba kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya kiwasiliane na wenzao wa zambia kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…