AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

Ndiyo tuendelee nayo sasa.
Nakuletea kanga mbili za simba ubane boga tukuone kwa mbali.
Inaonekana wewe hata lingerie unavaa sana na vikuku juu kila mda unawaza kuzibuana mtaro, hapo kwenu kuna wazibua mtaro hata old trafford wanakupeleka upige picha na ronaldo,wapelekeee budi budi hilo waarabu wenu
 
Hapa tayari pua zimekutanuka umepanic 😂😂😂
 
Habari ishasambaa ,kumbuka ilianzia hapa kwa njaakalihatari,ipo insta,twitter wana topolo kapambaneni huko
 
Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe

Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/chairman Moise katumbi na anayemfuatia kwa nguvu hapo klabuni ni sporting director Fredrick kitenge

Andre Mtine 2007 yeye pamoja na wafanyakazi kadhaa wa shirika la posta alikamatwa kwa wizi wa kwacha millions 100 na akashtakiwa kwa utakatishaji fedha katika KESI ILIYOHUSISHA MADAWA YA KULEVYA KUPITIA SHIRIKA LA POSTA

2014 alifungiwa MAISHA kujihusisha na soka nchini zambia baada ya kusababisha mzozo mkubwa wa kisoka kati ya zambia na DRC congo uliokuwa mkubwa hadi ikasababisha serikali za nchi hizo kuingilia kati na kuyamaliza
issue ilikuwa hivi

Akiwa afisa wa Tp mazembe alihusika kudanganya kwamba wachezaji wa kizambia , kalaba, sunzu na sinkala ni wagonjwa wakakosa game la kirafiki na Brazili lililopigwa china

Wachezaji hao walipoingia zambia , serikali ya nchi hiyo ilishikilia passport zao wasiweze kurudi lubumbashi kwa ajili ya mechi yao vs stade de malien lakini mwamba huyu aliwatorosha kwa njia za panya kupitia ndola, timbwili lilikuwa refu

Pia alikuwa mtunza hazina wa chama cha soka cha zambia alipofukuzwa kwa tuhuma za wizi
MY TAKE: HUYU SIYO SENZO KWA HAKIKA TFF KAZI MNAYO MMELETEWA MTU WA TIMBWILI KWELIKWELI MLIDHANI SOPE TAKADINI ANAJUA KULIANZISHA , MMELETEWA SOPE TAKADINI WA KIMATAIFA, LOL BIRDS OF THE SAME FEATHERS FLOCK TOGETHER

View attachment 2369512View attachment 2369513
Fanya juu chini ukatibiwe akili
 
Yanga inaonekana hawakufanya due diligence vizuri..kilichobaki kwa mashabiki ni kupamba huyu jamaaa aonekane ndio mzuri anatakiwa...huyu ni mtu wa makando kando Sana ..Iko siku atapiga tukio halafu TFF wamlime mtaanza kusingizia TFF inawaonea...Yanga Kuna uhuni mwingi unafanyika ambao huuoni Simba wakifanya.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaumia?
 
NYIE KUMBE CEO MPYA WA YANGA NI PANYA ROAD WA ZAMBIA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Aisee kazi mnayo leo,hii habari ishapokelewa instagram na twitter nenda kapeleke matusi yako ya kuzibuana mtaro
Haha mashabiki wa simba mko very desperate mnatafuta angle ya kujifariji baada ya kupigwa mabao mfululizo na Yanga.
Swali ni moja tu, huyo CEO wetu mwizi tuliyemwajiri ndiyo atasababisha Simba ipate ubingwa dhidi ya yanga???

Mo ameshawajulia mashabiki wa simba ndiyo maana kaweka nguvu kwenye Mo boxxing na pambano la kwanza ni kati ya Dejan na Okra
 
Haha mashabiki wa simba mko very desperate mnatafuta angle ya kujifariji baada ya kupigwa mabao mfululizo na Yanga.
Swali ni moja tu, huyo CEO wetu mwizi tuliyemwajiri ndiyo atasababisha Simba ipate ubingwa dhidi ya yanga???

Mo ameshawajulia mashabiki wa simba ndiyo maana kaweka nguvu kwenye Mo boxxing na pambano la kwanza kati ya Dejan na Okra
Karia ajipange sana , CEO jumlisha sope takadini bonge la kombinesheni
 
Yanga inaonekana hawakufanya due diligence vizuri..kilichobaki kwa mashabiki ni kupamba huyu jamaaa aonekane ndio mzuri anatakiwa...huyu ni mtu wa makando kando Sana ..Iko siku atapiga tukio halafu TFF wamlime mtaanza kusingizia TFF inawaonea...Yanga Kuna uhuni mwingi unafanyika ambao huuoni Simba wakifanya.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siasa za mpira tu mkuu. Hapa Africa ukisha sikia tu kesi ya utakatishaji fedha na madawa ya kulevya weka alama ya kiulizo.
 
Back
Top Bottom