Shida siyo vijana. Shida ni Ujasusi na Robbing Skills za Mabalozi husika. Yaani wana mikakati. Thinking Tanks za Nchi ndio zime tuangusha. Hata issue ya Uchaguzi Kenya, Ujasusi wa Tz ungekuwa vzr unge mpa support Raila. Raila siyo Threat kwa Tz.
Sie tuna viongozi wasomi mno ila usomi wao ni wa kishamba sana.
Ni sawa na mtu anayeweza kukuelezea jinsi baiskeli inavyoendeshwa au cherehani inavyofanya kazi ila wao hawajui na hawawezi kabisa kutekeleza maneno yao kwa vitendo hata kidogo.