AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

Shida siyo vijana. Shida ni Ujasusi na Robbing Skills za Mabalozi husika. Yaani wana mikakati. Thinking Tanks za Nchi ndio zime tuangusha. Hata issue ya Uchaguzi Kenya, Ujasusi wa Tz ungekuwa vzr unge mpa support Raila. Raila siyo Threat kwa Tz.
 
Mi cjapenda ulivyopanga hao wasanii kwenye kichwa cha huyo bwana c ungemueka alikiba kwanza
 
Huku tunaendeleza ubishi mkoa upo uko juu ya mwenzie? kila mtu anajikuta Bora ndo matokeo yake.. inauma sana yaani sijui tumerogwa na Nan?
 
Sie tuna viongozi wasomi mno ila usomi wao ni wa kishamba sana.
Ni sawa na mtu anayeweza kukuelezea jinsi baiskeli inavyoendeshwa au cherehani inavyofanya kazi ila wao hawajui na hawawezi kabisa kutekeleza maneno yao kwa vitendo hata kidogo.
Nauchukia ule mfumo asee,
Eti chora na andika sehemu za sikio,na kweli mtu anachora na kuzitaja lakini akionyeshwa live hawezi kueleza nini hicho!
 
Back
Top Bottom