Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Huu uzi utafikiri umechangiwa na wakenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuteni maisha ili muache majungu na roho mbaya.sinza pazuri huyu na mamburula wengine waione hii.
Nauchukia ule mfumo asee,Sie tuna viongozi wasomi mno ila usomi wao ni wa kishamba sana.
Ni sawa na mtu anayeweza kukuelezea jinsi baiskeli inavyoendeshwa au cherehani inavyofanya kazi ila wao hawajui na hawawezi kabisa kutekeleza maneno yao kwa vitendo hata kidogo.
Au siyo,ndo unadhibitisha hoja yake,Mi cjapenda ulivyopanga hao wasanii kwenye kichwa cha huyo bwana c ungemueka alikiba kwanza