Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Zitto Junior.....Eneo liliitwa Palestine.....na nani....Umeenda shule kweli...au unadokoa Mtandaoni......? Unajua ni nani aliita hiyo sehemu Palestine.....Unajua ni mataifa mangapi yametawala mahali hapo....Kuna hata serikali ya Wapelestine? 1948 Serikali ya Wapelestine ilikuwa ikiongozwa na nani? Rudia Historia yake...
 
Wewe umesema nchi ni ya Israel ndio maana inaitwa Israel. Ndio nakufundisha kwamba hakuna nchi iliitwa Israel before 1948 it was British Palestine or whatever you call it ila sio Israel and that is a fact
 
Uongo ukizidi ... offside za wazi kipyenga kidogo ... wasitufanye manyani .. au nasema uongo ndugu?

Mtazamo wangu vita hii itasimama....kwa sasa Gaza imeharibiwa vibaya...Hata Watetezi wa Israel watasema sasa imetosha! Unaweza kuisambaratisha Hamas....lakini huwezi kuia kabisa.....maana Hamas is religious inspired movement! Tofauti kabisa na akina Mahamoud Abbas upande wa West Bank......Hili tatizo ni conundrum.......
 
Mkuu hii ni vita.......unategemea nini.....

Ukisoma hii Charter ya Hamas.....ambayo inaitisha Jihad unadhani kuna mwisho?

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)The Call to Jihad:------------------'The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes theindividual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation,it is compulsory that the banner of Jihad be raised.' (Article 15)
 
Wewe umesema nchi ni ya Israel ndio maana inaitwa Israel. Ndio nakufundisha kwamba hakuna nchi iliitwa Israel before 1948 it was British Palestine or whatever you call it ila sio Israel and that is a fact

Mkuu sijasema ni nchi ya Israel....rudia tena posts zangu.....usinilishe maneno Mkuu......! Warabu , Wayahudi na makabila mengine yalikuwepo hapo....Historia inatambua hivyo usinilishe maneno mkuu....We can argue from 1948 way back.....utaona hakuna taifa la Palestine wala la Israel.....Historia inawaweka wote mahali hapo.
 

Nakubaliana nawe na hapa ndipo Ile tofauti ya akina Ramaphosa na zile mbuzi mbuzi ilipo
 

Mkuu uko kimaandiko zaidi huku ukisahau kupambana na adui mwenye vifaru, madege nk, akiungwa mkono na mabeberu hali ukiwa na watu wenye mawe mkononi wasiokuwa na chakula, maji wala kustahili tiba, yataka wito kamili.

Unadhani Kinjekitile hakujua risasi au mabomu ya wajerumani yatakuwa maji?

Au mkuu, unadhani jiwe aliamini corona ilikuwa ni upepo wenye kukemewa kwa maombi ya siku 3?

Mbombo nkafu za hivi, zataka zaidi ya uhalisia na hapa ndipo ushindi dhidi ya CCM tutasuburi sana.

Habari hii iwafikie ndugu wote katika mapambano.
 

Mkuu Hamas inasukumwa na Maandiko (Quaran) ......sio uhalisia wa Kihistoria.......ndio maana ilianzishwa na kujitenga na akina Mahmoud Abbas..

Ahmed Yassin ( Mwanzilishi wa Hamas) ali copy na ku paste the entire ideology Muslim Brotherhood ya Egypt, ambayo inawasumbua Egypty mpaka leo! Hujaona katika mgogoro huu Egypt imegoma kufungua mlango Wapalestina waingie.....mojawapo ni kutotaka wairudishe mbegu ya Moslem Brotherhood.....Waarabu wenzao pia hawataki hilo.....Angalia Lebanon Hizbollah walichofanya......Lebanon is almost failed state. Wanajua radicalization ya Hamas.

Ukiwa na msimamo wa Hamas ni vigumu kufikia compromise yoyote ile.......Itikadi hiyo ni kutaka Israel iondoke....itupwe baharini....."from the River to the sea" Kwa hakuna Negotiations na Myahudi.... Egypt imewahi kufikia mapatano na Israel....Saudia na hata Jordan nadhani......Leo Hata Qatar inaweza kuzungumza na Israel.....Lakini sio Hamas.....

Wengi hawapendi kusema hilo.....Hamas is a religious movement. Israel haiwezi kuitekeza hiyo ideology...labda kusambaratisha Hamas tu ....but it cannot kill the Ideology which drive Hamas......
 

Ahmed Yassin was a quadriplegic refugee who ran a charity. How did he end up founding Hamas?​




 
Tangu lini Israel ikawa eneo la wapalestina, nchi yenyewe inaitwa Israel halafu imilikiwe na wapalestina......ni sawasawa na kusema Tanganyika isimilikiwe na watanganyika bali imilikiwe na wakenya......don't you see the logic?
Soma historia dogo usiwe na mapenzi ya moja kwa moja Israel imeanzishwa lini
 
Soma historia dogo usiwe na mapenzi ya moja kwa moja Israel imeanzishwa lini

Mkuu ni wachache wanaweza kukaa chini na kutaka kufahamu historia inasema nini.....Hawajui nini kilitokea baada ya Ottoman empire kuondoka ( Hakukuwepo na Taifa la Palestine wala Israel mahali hapo) .....Hawajui kabisa jinsi Israel na negotitiaons nyingi walizopitia hadi kujitangazia uhuru wao...Hawajui pia attempts za Waarabu na walivyokataa partition ya UN 1948......ambayo iliwapa land kubwa kuliko Israel.....waliamua Vita 1948...wakapoteza hata walichopewa na UN....Wakajaribu 1967, 1973...Wakajikuita wanapoteza tena, 2005 Israel ikawapa Gaza....Wanaipoteza tena kwa Jazba za Hamas.....Ni Nakba nyingine tena.
 

Haupo sahihi. HAMAS walikuwa wanatawala Gaza. HAMAS wanalaaniwa west tu kama ilivyokuwa SWAPO, ANC, ZANU PF, Mandela au Gaddafi au wale was Mau Mau.
 

Dawa bado haijaingia ,Magaidi huwa hawafikili madhara ya wanachofanya!!!
 
Duh yaani kumfukuza mvamizi ni kosa? Yaani tulivyomfukuza Idd Amin pale Kagera ilikua kosa?
kwamba Idd na Idf wanafanana ? Idd alifanya sw na Hamas walivyofanya na Idd alikuwa na sababu za kipuuz kama Hamas ila mwisho wa siku waliadhibiwa kwa kuchagua njia mbovu kwenye kufikia malengo yao
 
Lilikua koloni la uingereza before than ilikua Ottoman.... ila eneo linaitwa palestina mbona simple tu. Nimekuwekea mpaka screenshot huamini tu.
Ukitaka kujua hawa watu walivyo waovu ,kuna project inaitwa "Greater Israel "
Wanalengo na kuexpand makazi ya walowezi na kuconqure maeneo ya Jordan , Syria ,Lebanon na Euphrates River , kiufupi hawataishia hapo kwenye kukwapua ardhi ya wapalestina .
Kiufupi nchi zote hizo zilizokubali kuwakaribisha puppets kuzikalia ili kusatisfy matakwa ya wazayuni zitavuna uovu wa machafuko na occupation ya wazayuni .
Mtu akianza kula nyama ya mtu haachi .
Hii ni clandestine operation ya hawa waovu .
Ile scenario ya kufund rebellion na vita maeneo ya mashariki ya kati na kuishia kuwaweka puppets ambao wako tayari kuwa tools za kucompromise na wazayuni si coincidence ,ni kitu real kabisa , viongozi wote wabishi waliokuwa stumbling block ,wameng'olewa ,kabaki Asad ,na yeye bila Russia kuingilia , ile uasi wa makundi yale na ugaidi feki wa ISIS ilikuwa ni great plan ya kukamilisha hiyo project
Ukiangalia ile saga ya vita pale Syria na kuielewa ndio utajua ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…