Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Mimi natizama tu kupitia vyombo vya habari na kusoma mitandaoni kwenye vyanzo mbali mbali.

Hata wanaokwambia wamesikia wanafanya hivyo hivyo kama wewe. Kwani wewe hujui kuwa kiswahili ni kifinyu mno ndugu?

Kwani hujui kwa nini kiswahili hakifai Kwa matumizi ya mahakamani au kufundishia?
 
Back
Top Bottom