Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Kuna vitu unachangia mpaka tunajiuliza kuwa una matatizo gani mbona unadhalilisha Chama sana?Mabeberu ambayo yakiwapa misaada wanageuka wahisani ni mpumbavu pekee wa kuamin Hilo.
Wewe Ndio hutaki kuamka,hueleweki una bwana yupi,Wewe Mchina,Twende,America Twende,UK twende,Mrusi twende.Sio wivu....
Wana roho mbaya na khiyana tu....hawataki TUAMKE na kuwa na ushirikiano wa HESHIMA kati ya mataifa ya DUNIA.....
Mfungueni media zenu??Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
🤣🤣Kweli watu wana ajenda zao....

Utawala wa wa-China ni utawala wa Shetani...Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
TBC SI IPOKweli watu wana ajenda zao....

Ni "persona non grata" wewe kilaza muongo.Soon atakuwa person non grata
Hata mwizi huwa anaingia kanisani na msikitini....anakwenda kufanya ibada takatifu na haihusiani na wizi wake....Mabeberu ambayo yakiwapa misaada wanageuka wahisani ni mpumbavu pekee wa kuamin Hilo.
Kwanini ?!!Utawala wa wa-China ni utawala wa Shetani...
Umemaliza...BBC na AL JAZEERA are tools of informational warfare against DEVELOPING NATIONS....Mfungueni media zenu??
kila siku kulalamika
Media ni sehemu za kusambaza information warfare
Chadema ni marafiki wa BBC na AL JAZEERA....Wanataka fidia huku genge lenu mnaloita polis likishindwa kuwa na intelijensia ila chadema ikitaka kifanya mkutano ndio intelijensia inakuwepo ya uharifu ni mpumbavu pekee wa kuamin Hilo.
TBC inakuhusu na wewe.....we mtumwa?!?TBC SI IPO
Hata marafiki zetu Marekani mabwana zao KIUCHUMI ni wachina....huko uchina Marekani ina VIWANDA vikubwa zaidi ya 4000....Wewe Ndio hutaki kuamka,hueleweki una bwana yupi,Wewe Mchina,Twende,America Twende,UK twende,Mrusi twende.
Siku si Nyingi mtaitwa jumuia ya madola mwenye BBC yake na mtaenda[emoji23][emoji23]
Kifupi kama wewe ni maskini afu huna akili lazima unyanyaswe.
Takataka zangu nazipeleka pale penye choo "passport size" mtaa wa UFIPA....Peleka takataka lumumba kwenye gazeti la uhuru.
Shangaa mkuu wangu [emoji1787][emoji1787]Aibu kubwa ndo inakuaga ivyo kumbe
Beberu ni mtu...kuna kipindi anaingia NYUMBA YA IBADA....Ubeberu huku kutwa nzima kuombaonba Kwa mabeberu kama sio upumbavu ni Nini Hadi matundu ya choo mabeberu yanawajengea
[emoji1787][emoji1787]Hii habari kuikosa inauma kama Odemba alivyoumia na kulia kwenye media.
Swadakta....Any proof on that mkuu????