Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
-
- #101
FOCAC una malengo makubwa zaidi ya huo mkutano wa Rwanda....I don't care nani mfadhili, hoja yangu ni kwamba kujifunza kilimo bora na kuangalia mkutano unaofanyika China kipi bora? Utakula mkutano wewe mtu masikini??
Wewe una kichaa cha mbwa yaani rabies, unabwaka kama kichaa.Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
China inanunua kahawa kutoka nchi zote duniani. Kiasi inachonunua kwako ni chembe tu yaani negligibleFOCAC una malengo makubwa zaidi ya huo mkutano wa Rwanda....
Hivi unajua kuwa CHINA inanunua sana kahawa yetu ya ROBUSTA na ARABIKA zaidi ya Marekani na Uingereza?!!!
Kahawa haitokani na kilimo ?!!
Halafu kuna mkutano gani ukosao faida ?!!
Mkuu unafeli wapi mwaisa?!! [emoji1787]
Argumentum ad hominem...Wewe una kichaa cha mbwa yaani rabies, unabwaka kama kichaa.
BBC au hao wengine unafikiri wanapata habari bure bure? Au hawaandai? Labda ungenikita na TBC hao ndiyo unawalipa kwa kodi yako
Mbango....China inanunua kahawa kutoka nchi zote duniani. Kiasi inachonunua kwako ni chembe tu yaani negligible
Kwa nini hukuangalia TBC?Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
Kwani Mkutano wa Focac si unaanza tarehe 4 sept?Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
bbc ilikuwa zamani,sasa hivi ni sawa na manara tvKweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
Ngumbalu wa lumumba utaelewa nin, kaz yako kuomba mapambio ya mamayenu huku lichama lenu mkilitia aibu.Kuna vitu unachangia mpaka tunajiuliza kuwa una matatizo gani mbona unadhalilisha Chama sana?
Kama hao wachina mnaowasujudia.Beberu ni mtu...kuna kipindi anaingia NYUMBA YA IBADA....
CCM ni majangili tupuNgumbalu wa lumumba utaelewa nin, kaz yako kuomba mapambio ya mamayenu huku lichama lenu mkilitia aibu.
Naweza nikawa ninaargue na mtambo aisee..Ngumbalu wa lumumba utaelewa nin, kaz yako kuomba mapambio ya mamayenu huku lichama lenu mkilitia aibu.
Aisee 😯 kumbe!BBC mlimpa ajira Zuhura mara paap kapigwa chini.
Oops Kikeke sijui njoo uwe bosi sijui wapi, mara papu, Majungu yakamtangulia, sasa tunae humu humu mtaani
Leo BBC eti wawatangaze, aa wapi.
Viongozi wa Afrika ni wehu mnasafiri masafa marefu kwenda kumuabudu XI PINGKweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
Tusipangiane maisha Mkuuu,fungua channel yako onyesha unachotakaaa ,pili inaonekana Odemba kumsulubu Nchimbi imekuuma sanaa ,toka lini Odemba anafanya kazi BBC,Odemba ni mwaandishi wa star tv ,na Star tv wako na ushirikiano na BBC miaka mingi sanaa hata kabila wewe hujazaliwa ,achaa unaaaaKweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!
Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....
#Vijana Afrika Tutie Akili
#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]
#Nchi Kwanza[emoji2956]
Leo...Kwani Mkutano wa Focac si unaanza tarehe 4 sept?
Buggati [emoji1787]bbc ilikuwa zamani,sasa hivi ni sawa na manara tv