Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #101
FOCAC una malengo makubwa zaidi ya huo mkutano wa Rwanda....I don't care nani mfadhili, hoja yangu ni kwamba kujifunza kilimo bora na kuangalia mkutano unaofanyika China kipi bora? Utakula mkutano wewe mtu masikini??
Hivi unajua kuwa CHINA inanunua sana kahawa yetu ya ROBUSTA na ARABIKA zaidi ya Marekani na Uingereza?!!!
Kahawa haitokani na kilimo ?!!
Halafu kuna mkutano gani ukosao faida ?!!
Mkuu unafeli wapi mwaisa?!! [emoji1787]