Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Kweli watu wana ajenda zao....

Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....

Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!

Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....

#Vijana Afrika Tutie Akili

#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Angalia Chanel Ten
 
Mlikimbia mdahalo ambao mngeonekana Leo mnalialia kuonekana tv uliyokimbia, ni mjinga pekee anayeweza kubaliana na wewe.
Unanialikaje katika "staftahi" ya nyumbani kwako ili uje KUNISIMANGA NA KUNIDOGOSHA?!!

Wallahi mwaliko wako nitaukataa na hiyo asubuhi nitaamka na kufunga kula....SWAUMU.....[emoji1787]
 
BBC mlimpa ajira Zuhura mara paap kapigwa chini.

Oops Kikeke sijui njoo uwe bosi sijui wapi, mara papu, Majungu yakamtangulia, sasa tunae humu humu mtaani

Leo BBC eti wawatangaze, aa wapi.
 
[emoji1787]
Duniani kote watu hutekwa....

Ni hivi majuzi watekaji wamemtwanga RISASI ya sikio Rais mstaafu na mgombea wa urais wa Marekani mh.Donald Trump....
Kwa hio trump alitekwa, ccm ni wapumbavu kweli ndio maana wazalendo wa kweli wanachukua video za wapumbavu kama yule mkuu wa wilaya aliyetumbiliwa kule longido.
 
Ndio, ni Afisa Kipenyo wa shirika la ujasusi la Kenya
Acha bwana mkuu wangu duuh enhe looh umesababisha nijimwagie kahawa yangu kwa kushtuka....

Mkuu acha masihara..

Tuhuma nzito hizo...

Duuh naogopa
 
BBC mlimpa ajira Zuhura mara paap kapigwa chini.

Oops Kikeke sijui njoo uwe bosi sijui wapi, mara papu, Majungu yakamtangulia, sasa tunae humu humu mtaani

Leo BBC eti wawatangaze, aa wapi.
Mbona wameutangaza mkutano wa kilimo huko Rwanda?!!

Mh.Hussein Bashe na wenzake wako huko.....
 
Kwa hio trump alitekwa, ccm ni wapumbavu kweli ndio maana wazalendo wa kweli wanachukua video za wapumbavu kama yule mkuu wa wilaya aliyetumbiliwa kule longido.
Si bora anayekuteka na akataka umpe fedha akuachie kama ile mijambazo yenye mtandao wa utekaji kupata pesa walivyomfanyia mtoto wa mzee CHAULA...mijangili ya Marekani imemtwanga RISASI rais mstaafu na mgombea wa urais....

Kuwa serious mkuu....
 
Hizi ni mambo unatakiwa kuelewa Kabla ya kulaumu media, kila chombo Cha habari kinadhibitiwa..(elewa hivo siku zote), jiulize BBC ni ya wapi?ukipata jibu jumlisha na yanayoendelea duniani Kwa Sasa...global north vs global south...kama ni mfuatiliaji WA BBC ushajiuliza kwanini hawakutangaza kabisa maandamano yaliyotokea uingereza week chache zilizopita?ukipata jibu kunywa maji sogelea tv Yako weka TBC/kilicho Bora zaidi😎
 
Peleka hizo takataka za hio mikutano kwenye vitv vyenu huko kwenye makorido ya lumumba
Niko jirani hapa na nyumba hii ya UFIPA....nikibanwa na takataka nitampa mlinzi elfu 2000 zaidi ya buku anayopewa na wale wanaoingia na "maboksi uani" kumaliza yao mida mibovu ya saa 8 usiku.... nikitumie kile CHOO karibu na ule ukuta mnaofanyia mikutano yenu....
 
Kweli watu wana ajenda zao....

Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....

Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO huko Rwanda na kuiacha habari hii ya jukwaa la FOCAC ?!!!

Nimeamini hawa BBC ,AL JAZEERA wana AJENDA ZAO....

#Vijana Afrika Tutie Akili

#Huko Nje hatuna wajomba bali wadau wa maendeleo[emoji2956]

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Ulozi wa kikoloni unakusumbua
 
Hizi ni mambo unatakiwa kuelewa Kabla ya kulaumu media, kila chombo Cha habari kinadhibitiwa..(elewa hivo siku zote), jiulize BBC ni ya wapi?ukipata jibu jumlisha na yanayoendelea duniani Kwa Sasa...global north vs global south...kama ni mfuatiliaji WA BBC ushajiuliza kwanini hawakutangaza kabisa maandamano yaliyotokea uingereza week chache zilizopita?ukipata jibu kunywa maji sogelea tv Yako weka TBC/kilicho Bora zaidi[emoji41]
Naelewa na ndio maana nimekumbusha wenzangu tusisahau AJENDA za hawa BBC na AL JAZEERA.....
 
Back
Top Bottom