Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

Nani alikwambia maisha ni kilimo pekee? Punguza ushamba kijana.
Najua kuna nyanja nyingi za kutafuta pesa. Lkn mada yangu imeangazia kilimo kama sehemu mojawapo ya kuwafanya wasomi wasiendelee kubweteka na kukaa kwa mashemeji zao wakifua boksa kusubiria ajira kwa miaka mingi.
 
Shiba hupunguza uwezo wa kufikiri, na aliyeshiba hakumbuki mwenye njaaaa
 
Shiba hupunguza uwezo wa kufikiri, na aliyeshiba hakumbuki mwenye njaaaa
Utoke chuo kikuu, unaenda songwe,au kyelwa, unakuta ardhi bwelelee! Unajipimia, unalima, unavuna, mazao yako, mifumo ipo Bora, unapata pesa yako chap chap, ndani ya miaka mitano,una Jenga hekalu Lako na unanunua ndinga!
Kama kilimo kinalipa, hao, asilimia 80 mbona maisha yao hayabadiriki.
Acha kuongea nadharia ukiwa umekaa kwenye sofa, una gonga mvinyo, na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…