Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

Wakristo wa Kweli tuabuduo J2, watarudi kuabudu J1 wakati wasabato watamkubali Roho mtakatifu na kunena Kwa lugha mpya.

KANISA la kwanza moja linarudi.

J2 itakuwa Rasmi ya waabudu shetani.

Tusubiri.
 
Si unajua kanisa laudikia,sifa zake zilivyo huwezi shindana na unabii bali maandiko yanasema, ole wake atimizaye unabiii.
 
Hapo unazungumzia mapungufu ya waumini sio msimamo wa Kanisa. Kila dhehebu inapitia changamoto nyingi sana kwenye hii dunia. Mfano muumini anapo Amua kufanya jambo baya la kuibisha Kanisa lake haimaanishi kuwa dini yake imekubaliana naye au imebadirisha misingi yake. Mfano mzuri Diamond platnumz anapo support biashara yake ya betting haimaanishi Dini ya Kiisilamu imekubaliana na matendo yake au imebadirisha misingi yake. Kwa hyo don’t generalize Kwa kuona watu wachache ambao wameamua kufanya kinyume na mising ya dini yao kusema kwamba Dini yao imebadirisha Hapana bali wao ndo wamebadirika. Bado dini ya wasabato pamoja na madhehebu mengine ina watu wazur wanaoshikilia misingi yote ya dini hata kama dunia nzima itakubaliana na mambo maovu ila Watu wa Mungu wanaofuataaa misingi watakuwepo tu milele zote.
 
Ukristo unakoelekea ni kama ulaya, makanisa ya ulaya hayakua na misimamo, matokeo yake makanisa yamegeuka kituko watu wameacha kwenda,

Misimamo !! Misimamo !! Misimamo !!
Uovu ukemewe sio wa kuukalia kimya !!
Huna akili. Wewe unataka kuwa na misimamo juu ya ukristo kuliko hao wazungu waliokuletea huo ukristo? Inawezekanaje sikio kuzidi kichwa?! Haijawahi kutokea.
 
Hao si wanaukubali ushoga wazi wazi?
1697027991306.png
 
Siku zote huwa nasema Dini za kikristo nyingi zinageuka kuwa kituko kwasababu hakuna misimamo ya kukemea maovu, vitu vinachukuliwa poa kwa kisingizio kwamba kila mtu ana maamuzi yake,

mtu kaenda kutubu kanisani dhambi zake za uzinzi na kutafuta njia ili kuziepuka lakini kanisa linaruhusu mabinti kuingia huku wamevaa magauni yanayowachora shepu, ni sawa na mraibu wa dawa za kulevya kupelekwa sober house inayoruhusu kutumia madawa.
Ukristo siyo dini.
 
Wasabato walikuwa wa moto, wakawa vuguvugu na sasa ni wa baridi wamepoa! Hawa wa sasa hivi ni generation nyingine kabisa iliyovutwa zaidi na utandawazi. Wanafanya mitindo mingi tu ya kimaisha ambayo ilikuwa wanaiona ni dhambi na hawafanyi. Si wasabato tu hata wapentekoste mwendo ni uleule wamebadilika sana, kizazi cha zamani kinawashangaa kinawaona wamepotoka
 
Siku zote huwa nasema Dini za kikristo nyingi zinageuka kuwa kituko kwasababu hakuna misimamo ya kukemea maovu, vitu vinachukuliwa poa kwa kisingizio kwamba kila mtu ana maamuzi yake,

mtu kaenda kutubu kanisani dhambi zake za uzinzi na kutafuta njia ili kuziepuka lakini kanisa linaruhusu mabinti kuingia huku wamevaa magauni yanayowachora shepu, ni sawa na mraibu wa dawa za kulevya kupelekwa sober house inayoruhusu kutumia madawa.
It's Business
 
Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu ni Jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaofanya hivyo tangu enzi za kale (Sijajua uhalali wa wao kuona ndio siku ya sabato)

Ila sasa kuna baadhi ya sheria wameanza kupwaya.

Miaka ya 90s na 2000s mwanzoni nilishuhudia familia kibao watoto wakinyolewa kinyozi alikazwa kuwachonga nywele, Lakini leo hii ukienda makanisa ya wasabato utaona mpaka wachungaji wamepiga panki na kuzichonga nywele, kidevuni wamechonga ndevu kwa mtindo wa O.

Huyu ni mojawapo wa kundi la wachungaji wengi wa kisabato wanaochonga nywele na ndevu.

View attachment 2778741

Pia mabinti wengi sana walikuwa hawasuki wala kuvaa hereni waliamini kwa
mujibu wa Nyaraka za Mitume- Paulo na Petro, KUSUKA kumetizamwa kama MAPAMBO, Kwa mujibu wa Biblia, MAPAMBO MAZURI ni Tabia Njema, utu wa Moyoni, kuvaa kwa kujisitiri, kujikubali uumbaji wako bila kujitoboa (hereni), kuchora tattoo, ama kubadili mtindo wa nywele ulizoumbiwa mfano kuzirefusha nywele fupi kwa kuzisuka rasta.

, lakini leo hii imeshakuwa kawaida kuwakuta hereni zinaninginia masikioni na kila wiki/mwezi msuko mpya.

View attachment 2778744
Dhehebu lilianzishwa na mwanadamu unategemea nini? Wasabato wamepotoka sana, yani ni aibu ata kuwaita wakristo. Ni cult kama ilivyo ya Mackenzie wa kenya au siloam
 
Mkuu Nakubaliana na Wewe kwa 100% Wasabato wame loose credibility ya Imani yao ya ujumbe wa Malaika watatu..
wameloose credibility ya kushika biblia kama enzi hizo..
wameloose Ile imani ya Zamani ya waasisi wao...

kwa mfano zamani ilikuwa Ukitolea mfano hata kwa Watu lazma utolee mfamo wa wasabato ila kwa sasa hapna Zile sifa zote wamezipoteza kimebaki Ni nyimbo (wanaimba vizuri kwa kweli) japo na penyewe zamani walikuwa hawachezi ila sasa hivi sebene kama kawa....

kwenye Misimamo zamani msabato alikuwa yuko radhi afukuzwe kazi au chuo ila tu Asiende kufanya kazi Jumamosi Je leo hii wapo? Jibu ni hapana...

Kuhusu Kusuka Nywele na Kujipamba ulikuwa hukuti mdada wa Kisabato akisuka wala kuweka sijui mawigi mpaka kuna ile kunyoa fulani hivi wakaita kunyoa kwa kisabato,Ulikuwa hukuti mahereni wala sijui mwanaume akiwa na Nywele ndefu msabato au kasuka wala tattoo na wala mwanamke kunyoa kipara na mahereni makubwa..

Sasa je walikuwa Sahihi kwa misimamo ya biblia au walijitungia..

kuhusu Kusuka nywele
Paulo anasema katika 1Timotheo 2: 9-10

Screenshot_20231011-154925.png

na Petro akatia msumali kabisa kuwa 1 Petro 3:3-5

Screenshot_20231011-155421.png

na kunyoa nywele na mwanaume kuwa na nywele nyingi...1Wakorntho 11:14-15

Screenshot_20231011-155726.png

kuhusu Kunyoa ndevu na kuchonga nywele kuchanja chale na Michoro Tattoo mwilini mwako

Mambo ya walawi 19:27-28
Screenshot_20231011-161822.png

najua Watakuja wafia Dini hapa ooh Tuko huru sisi ooh maneno mengi...
Mimi jukumu langu ni kusema ukweli 😀😀 na hakuna uhuru 2petro2:1

Screenshot_20231011-155148.png

Jamani Kujistiri Ni Lazma kwa mujibu wa Dini na ni mapenzi ya Mungu na wala sio kujifanya eti umewekwa Huru soma

Screenshot_20231011-155250.png
 
Tatizo ni dini au watu?.kwasababu maandiko yako na hayajabadilika na hakuna mahali mtu anashikiwa fimbo kuyafuata.Kwahiyo binadamu kubadilika ni jambo la kawaida ilimradi atajuana na Mungu wake.
 
Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu siku hio kwa kuiita shabat (Sijajua uhalali wa wao kuona ndio siku ya sabato)

Ila sasa kuna baadhi ya sheria wameanza kupwaya.

Miaka ya 90s na 2000s mwanzoni nilishuhudia wasabato wengi wakienda kunyoa walikuwa wanakataa kuchongwa mpaka wakajipatia umaarufu wa mtindo wao kuitwa "kunyoa kisabato", Lakini leo hii hali ni tofauti, ukienda makanisa ya wasabato utaona mpaka wachungaji wamepiga panki na kuzichonga nywele, ndevu wamechonga kwa mtindo wa O.

Huyu ni mojawapo wa kundi la wachungaji wengi wa kisabato wanaochonga nywele na ndevu.

View attachment 2778741

Pia mabinti wengi sana walikuwa hawasuki wala kuvaa hereni waliamini kwa
mujibu wa Nyaraka za Mitume- Paulo na Petro, KUSUKA kumetizamwa kama MAPAMBO, Kwa mujibu wa Biblia, MAPAMBO MAZURI ni Tabia Njema, utu wa Moyoni, kuvaa kwa kujisitiri, kujikubali uumbaji wako bila kujitoboa (hereni), kuchora tattoo, ama kubadili mtindo wa nywele ulizoumbiwa mfano kuzirefusha nywele fupi kwa kuzisuka rasta.

, lakini leo hii imeshakuwa kawaida kuwakuta hereni zinaninginia masikioni na kila wiki/mwezi msuko mpya.

View attachment 2778744
Janja2 kama wale wanakobasi.
 
Wewe si ni mvaa kobazi.. Diamond Platnumz anafanyeje, Hamisa Mobetto anavaaje, Zari the Bosslady anavaaje...

Wavaa kobazi ndio wanaongoza kwa kuvaa Heleni, kuchora tatuu, kwenda maklabu, wanawake wao ndio wanaongoza kwa umalaya, angalia kina zuchu, wanapigwa pumbu tu awaolewi
Kwanza mwambie awaangalie wanawake wa kiislam Saudi Arabia, Dubai, Qatar na Egypt ya leo

Hawavai shungi wala Hijabu na ni Wahuni sana

Wameshatepeta
 
Dhehebu lilianzishwa na mwanadamu unategemea nini? Wasabato wamepotoka sana, yani ni aibu ata kuwaita wakristo. Ni cult kama ilivyo ya Mackenzie wa kenya au siloam
Kwani Mungu alianzisha dhehebu.Dhehebu ni jamii ya watu wenye shauri moja,hata mm na ww tukiwa na shauri moja hilo ni dhehebu.Sema hilo halitachukuliwa hivyo sababu ya mifumo ambayo iko established.Ila ndani ya dhehebu moja formal,ndani yake kuna madhehebu mengi informal.
 
Ibilisi mtu mbaya sana.
Wasabato walikuwa sahihi kukataa mitindo ya kidunia makanisani.
Lakini sasa ibilisi anawapepeta kama kawaida.
20 yrs later kuna uwezekano zinaa kufanyika madhabahuni
Screenshot_20231207-015647.jpg
 
Back
Top Bottom