GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,805
- Thread starter
- #21
Haka kamchezo sio poa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa inakuaje soda mpaka inaingia sokoni Ina kisoda kwa ndani.Donoghue v Stevenson
DaaaahMarketing Competition Sabotage. Naona Wapinzani wao wakubwa wa Vingunguti nao safari hii wamelipa Kisasi chao.
Sinywi tena soda, watu wameshakalia chupa, kisha unakua kuigida, kumbe umepiga denda PAPA ya mdada m1 😂Kuna soda hazinaga utamu kumbe masha lavu kaikalia
This means hizi chupa huwa hazisafishwi kabla ya kujazwa vinywaji kwa mara nyingineHabarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
dah mpka leo unatumia plastiki sebuleni kwako asee tafuta pesa na hako kakochi mbona kamesinyaa hivyo kitambaa cha bei chee au sioHabarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
Hakika.Donogue v Stevenson
Hii soda ipo na haijafunguliwa. Siwezi fanya jambo kama Hilo Mzee, binafsi nimeshangaa sana kuona upuuzi kama huu tena kwa kampuni kubwa kama Coca cola
Nani anachafua biashara ya mtu...sijaweka kwa Nia ya kuchafua biashara, nimeweka kwani ndo mara ya kwanza nakutana na hiki kitu. Punguza mihemko jamaa.
Kupasuka Kwa chupa kunasababishwa na mambo mengi,Mawazo mfu sana haya....sijasema nahitaji kulipwa wala Nini, ila nimeweka kwa lengo la kujifunza hivi vitu, kwani ni mara ngapi unaweza nunua soda na kukuta chupa imepasuka kidogo mdomoni au kukuta kutu?
😜😁😁😁😁😁Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
Ujinga mwingi, kuna wengine wanafanya hayo wakidhani watalipwa. Wakati mwingine ni sabotage unayofanya na rivals, ili wateja wahamie kwakeSasa inakuaje soda mpaka inaingia sokoni Ina kisoda kwa ndani.
😂😂😂😂 AyeeeKuna soda hazinaga utamu kumbe masha lavu kaikalia
Kuna hatuna kama 1000 hivi chupa huwa inapita kwenye kusafishwa kabla haijawekea soda au kinywaji kingine. Chips inasafishwa na kuhakikiwa zaidi ya vyombo vyako nyumbaniSinywi tena soda, watu wameshakalia chupa, kisha unakua kuigida, kumbe umepiga denda PAPA ya mdada m1 😂
Hv huwa ina maana ganflani
Castle lite wamezidi, visoda vyao kuwa na kutu, nilikuwa napenda sana kunywea beer kwenye chupa ila sasa natumia glass.hivyo visoda vyenyewe sikuhizi wamepunguza ubora vinashika kutu haraka sana inamaana hapo hakikosi chembe za kutu ukinywa huenda ukapata madhara....
mashahara ndo nini..?Mashahara wa wafanyakazi katika hicho kiwanda upoje isije kuwa wanafanya liwalo na liwe