pricaso
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 247
- 295
Donogue v Stevenson
Coca-Cola Kwanza Vs Berison Mbezibwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Donogue v Stevenson
Ngoja utawaambia hao koka kuliwa ilikuaje ukatia kisoda🤗Ina maana awa waduwanzi hawasafishi chupa ama.
Halafu style ya kung'ata kisoda na kutia kwenye soda nimeizoea kweli, nisipoweka kisoda kupunguza gesi, basi ujue humo natia karanga.
Ila tuache utani nimewahi kuta kipande cha limao kwenye chupa ya bia fulani,na sijui ina kuwaje,ila nilifikisha malalamiko kwa aliye nihudumia,kwa kuwa na mimi nilikuwa na karibia kuimaliza bia yenyewe nikaona poa tukwani sikutambua hata tofauti kwenye ladha.Marketing Competition Sabotage. Naona Wapinzani wao wakubwa wa Vingunguti nao safari hii wamelipa Kisasi chao.
Watu wanapenda sana kuchafulia wenzao biashara ndiyo maana hatuendelei. Kila siku utasikia coca cola sijui haifai kwa matumizi mara inasukari nyingi mara sijui nini hii ni mbinu adui anatumia kumuharibia mwenzio biashara. Sawa ajali kazini tunaendelea kunywa product ya coca cola mboba mabasi yakipata ajali tunapanda bado ? Acheni kuharibu brand za wenzenu. Na kweli kaleta na kapicha kake kwa nini usiwafate coca wenyewe uwaeleze wachukue hatua kama ni kweli.
Kwhyo kama ni ajali isireportiwe mbona ajali za magari zinarepotiwa !? Na ukienda kuwaeleza CocaCola wenyewe ww Mwananchi huku utakuwa vp makini hao Coca hawawez kukuambia wewe uwe makini .Watu wanapenda sana kuchafulia wenzao biashara ndiyo maana hatuendelei. Kila siku utasikia coca cola sijui haifai kwa matumizi mara inasukari nyingi mara sijui nini hii ni mbinu adui anatumia kumuharibia mwenzio biashara. Sawa ajali kazini tunaendelea kunywa product ya coca cola mboba mabasi yakipata ajali tunapanda bado ? Acheni kuharibu brand za wenzenu. Na kweli kaleta na kapicha kake kwa nini usiwafate coca wenyewe uwaeleze wachukue hatua kama ni kweli.
Kwani hiyo soda unaiosha ndio unywe?Huu mchezo wa kukunja kisoda kumbe wengi wanao. Ka mchezo flani amazing🤣🤣🤣🤣
Kenya kuna mtu alishtaki kampuni la Mikate akitaka alipwe mabillions..Kama ni kweli washitaki utalipwa bilions
Kwani hiyo soda unaiosha ndio unywe?
Najiuliza tu kuwa unawezaje kukunja kizibo kichafu halafu utumbukize kwenye soda halafu unywe? ndio sababu magonjwa ya tumbo hayaishi